Maji Safi Group

Call Directions Website Contact the organization

Maji Safi Group Maji Safi Group educates the communities of Shirati, Tanzania and parts of the US about disease prevention, health promotion, and WASH practices.

Maji Safi means "clean water" in Swahili. Maji Safi Group vision strives to bring global awareness to the Water, Sanitation, and Hygiene (WASH) crisis that humans face, while simultaneously working at a grassroots level to educate local families and communities how to prevent disease. The nonprofit was founded in early 2013 and currently operates programs in the US and Shirati, Tanzania. Maji Safi Group works on developing a repeatable model that enables local women and youth to change their own community’s public health situation.

WASH in Schools… Easy to start, but how do we keep it going? Join us on 14th October as we unpack:What It Takes to Susta...
10/12/2026

WASH in Schools… Easy to start, but how do we keep it going?

Join us on 14th October as we unpack:

What It Takes to Sustain WASH in Schools🏫

📅 14 October |
⏰ 3:00–4:30 PM EAT

🔗 Register here: https://forms.gle/Bj4whuBJRRkhU2Xa7

Let’s talk about sustainability, ownership, and what actually works! 🙌🏾




Hongera kwa kuhitimu elimu yenu ya darasa la saba  katika shule ya msingi Mwibara,  Bunda mkoa wa Mara  kwenye elimu yen...
09/23/2026

Hongera kwa kuhitimu elimu yenu ya darasa la saba katika shule ya msingi Mwibara, Bunda mkoa wa Mara kwenye elimu yenu sisi MSG tunamchango mkubwa kuhusu elimu ya makuzi,balehe na hedhi salama tuna imani ninyi ni mabalozi wazuri katika jamii kwenye elimu hii.





Ni safari ya elimu na manufaa ya muda mrefu hongerani kwa kuhitimu elimu ya msingi ya  darasa ya saba katika shule ya Ms...
09/23/2026

Ni safari ya elimu na manufaa ya muda mrefu hongerani kwa kuhitimu elimu ya msingi ya darasa ya saba katika shule ya Msingi mwibara tuna imani kuwa mtakuwa maba

MVUA ZA AL NINO ZINAKUJA UNATUMIA CHOO KILICHO BORA??!Kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa na mvua kubwa za El nino ni...
09/17/2026

MVUA ZA AL NINO ZINAKUJA UNATUMIA CHOO KILICHO BORA??!

Kipindi hiki ambacho kunatarajiwa kuwa na mvua kubwa za El nino ni muhimu kwa wananchi kutumia choo kilicho bora na madhubuti kwa matumizi na ambacho ni rahisi kusafishika mara baada ya matumizi, tutafute sisi MSG kwa elimu ya namna ya ujenzi wa choo bora na mahitaji mengine muhimu.




Kila hatua yenye matokeo chanya kwa jamii inahitaji ukaribu na ushirikishwaji kuanzia ofisini kwetu, lengo ni moja tu ku...
09/16/2026

Kila hatua yenye matokeo chanya kwa jamii inahitaji ukaribu na ushirikishwaji kuanzia ofisini kwetu, lengo ni moja tu kupata jamii ambayo imehamisika vilivyo kuhusu matumizi ya maji safi na salama, kuzingatia kanuni mbalimbali za afya tunazowapatia kwa ukaribu bila kusahau uelewa mpana wa elimu ya makuzi, balehe na hedhi salama ili kuleta jamii yenye usawa.




Wishing you a happy and refreshing weekend!As you enjoy your weekend, remember to practice good hygiene—clean hands, saf...
09/12/2026

Wishing you a happy and refreshing weekend!

As you enjoy your weekend, remember to practice good hygiene—clean hands, safe water, and a clean environment help keep us healthy. 💧🧼



Katika matukio yote ya kijamii sisi tumekuwa msaada mkubwa katika kutoa huduma ya maji safi na salama wilayani Rorya  na...
09/11/2026

Katika matukio yote ya kijamii sisi tumekuwa msaada mkubwa katika kutoa huduma ya maji safi na salama wilayani Rorya na maeneo yote ya jirani, wasiliana nasi tukupatie huduma iliyo bora.




Moja ya sehemu nchini Tanzania unayoweza shuhudia mabadiliko makubwa kuhusu elimu ya makuzi, balehe na hedhi salama kwa ...
09/10/2026

Moja ya sehemu nchini Tanzania unayoweza shuhudia mabadiliko makubwa kuhusu elimu ya makuzi, balehe na hedhi salama kwa ujumla basi ni wilaya ya Rorya, MSG licha ya kufikisha elimu katika makundi mbalimbali katika jamii, ikiwemo msikitini na kanisani, shule za msingi ni moja ya eneo ambalo tunazalisha mabalozi wazuri ambao hukuwa na elimu hii na kuleta mabadiliko chanya katika jamii, Wilaya za Butiama, Bunda Dc na Busega nao hawapo nyuma tumefakia



Today we had a saturday MHH class at Kitenga secondary school reaching 78 girls from form one class as MHH abassadors. T...
08/29/2026

Today we had a saturday MHH class at Kitenga secondary school reaching 78 girls from form one class as MHH abassadors. The sessions involved an introduction on MHH, pubery, MHH products and Uses which were presented on cooperation by MHH coordinator Sikujua Raphael




Tutoe ushirikiano kwa wahudumu wa afya wanapofika katika mazingira yetu.
08/26/2026

Tutoe ushirikiano kwa wahudumu wa afya wanapofika katika mazingira yetu.



Address

455 Marine Street
Boulder, CO
80302

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maji Safi Group posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Maji Safi Group:

Shortcuts

Share