TCJ - Tanzanian Community Johannesburg

Call Directions Website

TCJ - Tanzanian Community Johannesburg We, the Tanzanian nationals in South Africa, we have common goal to promote unite and cooperation.

Mungu akulaze mahali pema peponi mama yetu, dada yetu Sophie.Mazishi yalikuwa leo tarehe 7 November 2026 Pretoria
07/11/2026

Mungu akulaze mahali pema peponi mama yetu, dada yetu Sophie.Mazishi yalikuwa leo tarehe 7 November 2026 Pretoria

02/11/2026

TAARIFA MUHIMU KWA WANACHAMA WA TANZANIA COMMUNITY JOHANNESBURG (TCJ) NA WATANZANIA WENGINE

*YAH* : *LOCAL* *GOVERNMENT* *ELECTION*

K**a mnavyofahamu, tarehe 04 November 2026, nchi mwenyeji Afrika Kusini inatarajia kufanya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa.

Tunapenda kuwakumbusha kuwa uchaguzi huu ni suala la ndani la nchi mwenyeji. Hivyo, sisi k**a raia wa Tanzania tunapaswa kuheshimu taratibu na mamlaka za nchi hii na kuepuka kujihusisha na masuala ya kisiasa ya ndani ya nchi mwenyeji.

Katika kipindi chote cha uchaguzi, tunawaomba wanachama na waTanzania kuchukua tahadhari zifuatazo:

1. Kuepuka kushiriki katika shughuli, mikusanyiko au maandamano ya kisiasa yasiyowahusu.

2. Kuepuka mijadala ya kisiasa inayoweza kusababisha kutokuelewana au migogoro.

3. Kuzingatia usalama binafsi, familia zetu na Watanzania wenzetu.

4. Kuepuka maeneo yenye mikusanyiko mikubwa au vurugu zinazoweza kujitokeza.

Tunasisitiza umuhimu wa kudumisha umoja, mshik**ano na heshima kwa nchi mwenyeji. Tofauti zetu za mawazo zisitufanye tusahau kuwa sisi ni Watanzania na tunapaswa kulinda usalama na ustawi wetu.

Tuchukue tahadhari, tuwe watulivu na tuendelee kuwa mabalozi wazuri wa Tanzania hapa Afrika Kusini.

Asanteni sana
Katibu: *Dorice* R *Bubele*
Tanzania Community Johannesburg ( *TCJ* )

Imeandikwa tarehe 2 November 2026

Lala mahali pema peponi Comrade wa kweli kutoka kambi ya Solomon Mahlangu, Mazimbu,Morogoro. Upendo wako kwa waTanzania ...
23/10/2026

Lala mahali pema peponi Comrade wa kweli kutoka kambi ya Solomon Mahlangu, Mazimbu,Morogoro. Upendo wako kwa waTanzania nchini Afrika Kusini utakumbukwa daima.
HAMBA KAHLE BABA🙏✨🕯️

20/10/2026
08/10/2026

Protesters set several vehicles alight and looted shops in the Durban C*D on Thursday

Taarifa ya waTanzania waliopo kituo cha Lindela repatriation centre, Johannesburg, South Africa.K**a una ndugu yako pale...
02/10/2026

Taarifa ya waTanzania waliopo kituo cha Lindela repatriation centre, Johannesburg, South Africa.
K**a una ndugu yako pale basi wasiliana naye

01/10/2026

Mh. balozi James G. Bwana akitoa hitimisho la kufunga rasmi zoezi la kuwasaidia waTanzania kurudi nyumbani kwa hiari kutoka nchini Afrika Kusini

01/10/2026

Balozi wa Tanzania South Africa ndugu G. Bwana akitoa hitimisho kwenye zoezi la mwisho kurudi nyumbani kwa hiari la waTanzania kutoka Afrika Kusini🇹🇿🇿🇦🇹🇿🙏

20/05/2026

Address

4 Renown Street Kensington
Johannesburg Central
2000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TCJ - Tanzanian Community Johannesburg posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Nearby non profit organizations


Other Community Centers in Johannesburg Central

Show All