Bible Nuru Ya Dunia

Bible Nuru Ya Dunia Moja ya maono muhimu zaidi ya Apocalypse ni ile inayowasilisha malaika watatu wanaoruka angani wakit
(1)

06/19/2026

THIOLOJIA YA UTATU NI SAWA NA THIOLOJIA YA USHOGA

06/16/2026

MUNGU WA BIBLIA NI YESU AMA NI MUNGU WA YESU?

06/15/2026

MJADALA KUHUSU UTATU

06/13/2026

KARIBUNI KATIKA MAKAMBI YA WANAMATENGENEZO

KUANZIA: JULY 26 HADI AUGUST 1

ENEO: KEREGE BAGAMOYO

WAHUDUMU:

1. FRANCIS NDACHA
2.JEFF MASSAWE
3. JOELUM MTESYA

KUTAKUWA NA MEDICAL CAMP

06/13/2026

IBADA KATIKA KANISA LA SDA REFORM DAWASA TEGETA

Tunawakaribisha wote kwa ibada ya kila Sabato na huduma mbalimbali za kiroho.

06/13/2026

IBADA KATIKA KANISA LA SDA REFORM DAWASA TEGETA

Tunawakaribisha katika huduma hii kwa kila Sabato pamoja na huduma mbalimbali za kiroho.

06/12/2026

MUNGU WA BIBLIA NI NANI ?

06/12/2026

MJADALA WA KIELIMU KATI YA PASTOR MUSHI DHIDI YA MWALIMU NDACHA NA MASSAWE

MUSHI NI MCHUNGAJI WA KANISA LA THE POWER OF CHRIST SEGEREA.

ENEO: KANISA LA POWER OF CHRIST SEGREREA

06/11/2026

UTATU NI FUNDISHO LA BIBLIA?

MDAHALO KATI YA MWALIMU MASSAWE, NDACHA DHIDI YA MCHUNGAJI MAKORE (SDA PASTOR)

06/11/2026

UNABII WA DANIEL 2 NA MATUKIO YA SIKU ZA MWISHO

Address

Los Angeles, CA

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Bible Nuru Ya Dunia posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share