WSCO MBOZI

WSCO MBOZI TAASISI YA WASAIDIZI WA KISHERIA WILAYA YA MBOZI (WSCO)

27/02/2026
Msaidizi wa Kisheria Wilaya ya MBOZI Ndugu, CHRISTOPHER ANYELWISYE LUSOKO Leo Tarehe 27/02/2026 Ameshiriki Mafunzo yaliy...
27/02/2026

Msaidizi wa Kisheria Wilaya ya MBOZI Ndugu, CHRISTOPHER ANYELWISYE LUSOKO Leo Tarehe 27/02/2026 Ameshiriki Mafunzo yaliyoandaliwa na UMOJA WA KLABU ZA WAANDISHI WA HABARI TANZANIA ( UTPC)
Yaliyolenga kujua Dhana nzima ya Uandishi wa Habari, Kutenda na Matokeo na kuona umhimu wa Waandishi wa Habari kwenye Jamii Kwani wao wamekaa katikati Kati ya Wananchi na Serikali jinsi wanavyochochea Maendeleo kwenye Jamii.

27/02/2026
24/02/2026
Kazi ya Utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura pamoja na Elimu ya Kisheria imetolewa Katika Maeneo tofauti tofauti ya Kata ya SHI...
23/02/2026

Kazi ya Utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura pamoja na Elimu ya Kisheria imetolewa Katika Maeneo tofauti tofauti ya Kata ya SHIWINGA ambapo tumeyafikia Makundi mbalimbali kuhakikisha Wananchi wanakuwa na uelewa Mpana kuhusiana na Elimu ya Mpiga Kura na Elimu ya Kisheria.

Taasisi ya Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya MBOZI Mkoani SONGWE iitwayo WOMEN AND STANDARD CHANGES ORGANIZATION (WSCO) Le...
23/02/2026

Taasisi ya Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya MBOZI Mkoani SONGWE iitwayo WOMEN AND STANDARD CHANGES ORGANIZATION (WSCO) Leo Tarehe 23 February imeendelea na Zoezi la utoaji wa Elimu ya Mpiga Kura kuelekea Uchaguzi Mdogo wa kumchagua Diwani Kata ya SHIWINGA ambao utafanyika Tarehe 26 February,2026.
Hivyo tumefanikiwa kutoa Elimu Hiyo Katika Kijiji Cha SHIWINGA na kuwahamasisha kuwa wakajitokeze kwa wingi Tarehe 26/02/2026 Siku ya Uchaguzi,ili wakamchague kiongozi wanaye mtaka ambaye wanaamini atawaletea Maendeleo kwenye kata yao na Vijiji vyake kwa Ujumla,
Wananchi wamefurahia sana kupata Elimu Hiyo na kuahidi Siku hiyo watajitokeza kwa wingi kwenda kupiga Kura.

Leo Tarehe 17 February,2026 Mkuu wa Wilaya ya MBOZI, Mheshimiwa HAMADI MBEGA wakiongozana Afisa Maendeleo ya Jamii Bi TU...
17/02/2026

Leo Tarehe 17 February,2026 Mkuu wa Wilaya ya MBOZI, Mheshimiwa HAMADI MBEGA wakiongozana Afisa Maendeleo ya Jamii Bi TUMPALE MNDEKESYE wametembelea Ofisi ya Wasaidizi wa Kisheria Wilaya ya MBOZI Kupitia Kituo Cha WSCO.
Ambapo Lengo kuu likiwa ni kuja kuona Miradi tunayoendelea kuitekeleza Katika Wilaya ya MBOZI, Lakini pia kuja kuwapongeza Wasaidizi wa Kisheria Kwa namna wanavyoendelea kuisaidia Jamii katika utoaji wa Elimu ya Kisheria na kutoa Huduma za Msaada wa Kisheria.

17/02/2026
17/02/2026

Address

LAMI Street
Songwe
54201

Telephone

+255757652614

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WSCO MBOZI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to WSCO MBOZI:

Share