Ulingo wa maarifa ,kwa Habari na Matukio na simulizi kuhusu maisha.

  • Home
  • Zambia
  • Mbeya
  • Ulingo wa maarifa ,kwa Habari na Matukio na simulizi kuhusu maisha.

Ulingo wa maarifa ,kwa Habari na Matukio na simulizi kuhusu maisha. Habari na simulizi ndio jadi yetu
(1)

24/07/2024
masharit yake yalikuwa yai
08/06/2024

masharit yake yalikuwa yai

TEC Yatoa neno kuhusu bandari
18/08/2023

TEC Yatoa neno kuhusu bandari

07/07/2023

_Wamefika hapa kwakuwa hakuendekeza tamaa za ujana kutaka kunufaika na kijana bali alijua atakacho_Yeye alikuwa anaomba amtumie kijana wa ndoto zake angalau hata ya matumizi_Ndoa ilipofungwa aliendelea na tabia zake zilezile za wakati wa uchumba hakuota kiburi kwamba tayari meli imetia nanga. Gentlemen hata alipochepuka alijutia pia hakusahau k**a ana mke nyumbani na wala hakumdharau alipo beba ujauzito . Waliendelea kupendana hata walipo pitia wakati wa ukata wa fedha, dhahiri shairi Abadani wakabembelezana walipolala njaa . Alipokuwa binti alijidhatiti kwamba hata aje mwenye Range au Barack Obama kumtaka asingaliweza kukubali , Na Mungu hakuacha kusikiliza ombi lao *masikini huyu aliita Bwana kamsikiliza* leo hii ukiwatazama k**a filamu zenye behind the scenes kumbe ni real na kuongeza kuwa ni reality . Mwanzo hakuna aliyeamini k**a watafika?,Hata wazazi walikuwa pingamizi kwani walitaka binti yao aolewe na tajiri mwenye hadhi k**a wao lakini _true love never ask why_binti kakataa kumsikiliza baba yake aliyesababu ya uwepo wake &mama yake miezi 9 tumboni.
Kwakuwa walikuwa na upendo wa dhati hawakuwa na haja ya kuogopa laana ya wazazi kwakuwa waliamini kuwa upendo wao ni Mungu kawakutanisha ila wao waliamini upinzani wa wazazi ni tamaa ya mali za dunia , Hawakujua usemi usemao hakuna mzazi anayependa mwanae ateseke. Wakakubali kupata laana na kutengwa na familia ya upande wa mwanamke kutokana na umaskini wa kijana mwenye kumuoa binti wa familia ya kitajiri .
Leo hii hakuna anayeamini miujiza iliyotendeka katika ndoa ya vijana hao iliyofungwa na watu kidogoo ikiwa inatimiza miaka tisini na kenda huku ikiwa ni sehemu ya vijana wengine kwenda kutalii k**a kivutio na kuchota hekima . Wakiuliza maswali mengi imekuwaje mmefikia katika umri huu mkiwa pamoja ?, Hamjakumbwa na changamoto? . Wao walijibu hakuna maisha yanayo kosa changamoto ila tulimtanguliza Mungu kuwa sehemu ya maisha yetu hatukumkimbilia tuu wakati wa shida hata ule wa furaha , tulipokoseana tuliombana msamaha na ndio ilikuwa jadi ya maisha yetu. Tuziombee ndoa zinazo vunjika Mungu aingilie kati wazazi walee watoto pamoja na kukumbuka agano lao . Mali isiwe kigezo cha ndoa kuvunjika bali upendo utamalaki kati yao .
Ee Mungu zitazame ndoa uzijalie upendo usio na mipaka k**a ile ya Familia Takatifu ya Yesu , Maria na Yosef . Amina

*Atakaye kula mwili wake mwana wa adamu ana uzima ndani yake*
06/07/2023

*Atakaye kula mwili wake mwana wa adamu ana uzima ndani yake*

Tunza mazingira yakutunze. Vitu vilivyo katika mazingira ya mwanadamu huonekana si muhimu sana kwa kuangalia faida ya pa...
12/06/2023

Tunza mazingira yakutunze. Vitu vilivyo katika mazingira ya mwanadamu huonekana si muhimu sana kwa kuangalia faida ya papo kwa papo. Madhara yake hujitokeza baadaye

Volleyball 🏐 winners UJKOL 2023
04/06/2023

Volleyball 🏐 winners UJKOL 2023

04/06/2023
04/06/2023

NBA FINAL

Denver Nuggets watakuwa nyumbani kukipiga na Miami Heat,, hukuwa Nuggets wakitoka kushinda mchezo wa kwanza kwa 104 - 93, Nikola Jokic akitupia points 27 huku Bam Adebayo akitupia points 26 kwa Heat.

Je, Nuggets wataendelea kulitumia vyema dimba la nyumbani na kutanua uongozi ama Heat kusawazisha matokeo?

Kwa kifurushi cha Shilingi 35,000 unatazama fainali hii ya NBA mbashara kupitia chaneli ya ESPN ndani ya kisimbuzi chako cha AzamTV.

04/06/2023

Kundi la linaloundwa na Watoto wenye vipaji vya kucheza na kuimba kutoka limefanikiwa kuingia Fainali za mashindano ya vipaji ya ambapo mshindi ataondoka na Tsh. Milioni 741.1

Wengine waliofanikiwa kuingia Fainali inayomalizika Juni 4, 2023 ni , Amy Lou, , Olivia Lynes, Travis George, , Duo Odyssey, Cillian O'Connor na .

Unawatabiria nini vijana hawa?

Soma https://jamii.app/GhettoKidsBGT

Address

Tanzania
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Ulingo wa maarifa ,kwa Habari na Matukio na simulizi kuhusu maisha. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Ulingo wa maarifa ,kwa Habari na Matukio na simulizi kuhusu maisha.:

Share