Wandume Charity

Wandume Charity TUNA TANGAZA HABARI ZA DUNIA NZIMA

09/05/2024

KARIBUNI KUJA KUTUUNGA MKONO KWA KUTIZAMA WATOTO WA ACADEMY YETU WAKICHEZA, UKU TUKITIZAMA NAMNA YA KUPANGA KILA MTOTO NA SEHEMU YAKE YA KUCHEZA (POST).

N.B: USHARI NA MSAADA WENU UNAITAJIKA KWENYE ACADEMY YETU

COACH: JEMSI & FISTON

Mkutano wa mwezi wa kwanza wa groupe tumtumikiye Mungu bila kuchoka.N.B: KWA KWELI HAWA WA MAMA WANAFANZA KAZI YA KUJITO...
01/31/2024

Mkutano wa mwezi wa kwanza wa groupe tumtumikiye Mungu bila kuchoka.

N.B: KWA KWELI HAWA WA MAMA WANAFANZA KAZI YA KUJITOLEA KUSAIDIYA WASIO JIWEZA, WAGONJWA, WAFUNGWA ETC…, UKIONGOZWA NA MUNGU UNAWEZA SAIDIYA KWA KILE KIDOGO ULICHO NACHO KUPITIYA IZI NAMBA UNAWEZA WAPATA.

Adresse : zone Kamenge
Quartier Mirango
Commune Ntahangwa
Province Bujumbura mairie
+25761877254 SAFARI JEACQUELIN
+25779081097 SAFARI BIBI

12/24/2023

Leo 24/12/2023 kesho le 25/12/2023 Après une semaine itakuwa Nouvelle année 2024.

N.B: Bule bu message bwa musama sibutaki acha tuendeleye na Bifu zetu vile vile tulikuwa uyu mwaka wa 2023, tuendeleye Paka mwisho.

Muda wa kuishi kinafiki Usha isha kila mutu na maisha yake na mambo zake. Marafiki zangu na wapendwa wangu tunajuwana na tutaendeleya vile vile ❤️❤️❤️❤️❤️

MUNGU ANAJIBU KWA WAKATI KABISA
12/03/2023

MUNGU ANAJIBU KWA WAKATI KABISA

Munakaribishwa kwenye mkutano wa injili, taarifu na mwenzako ili aje apate baraka na uponyaji
04/11/2023

Munakaribishwa kwenye mkutano wa injili, taarifu na mwenzako ili aje apate baraka na uponyaji

01/25/2023

Kipindi kizuri sana usipiti bila kugusa link apo n chini na kuacha maonie yako
👇👇👇👇👇👇👇Fred Brillant Izonyibuka
https://youtu.be/jEHpBtBQvwU

01/15/2023

Bonne nuit mes amies

Address

Raleigh, NC
27615

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wandume Charity posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wandume Charity:

Share