Vowa Voice of voiceless girls, Women and people with disabilities.

05/27/2026

Giving diginity and independent to upper limbs amputees. We are so happy for this life transformation. Vowa and The Hand Project Viva forever

04/01/2026

Voice of Women Africa, kwa kushirikiana na The Hand Project na Hospitali ya Wilaya ya Serengeti, wameandaa kambi ya kugawa mikono bandia kuanzia tarehe 30/3/2026 hadi 6/4/2026. Lengo ni kuwafikia na kuwainua watu wanaoishi bila mikono ili warejee kwenye maisha ya kujitegemea kwa heshima.

Mikono hiyo imebuniwa kusaidia kufanya kazi ngumu k**a kulima na kuandaa chakula. Hii itawasaidia kupunguza utegemezi, kuongeza uwezo wa kujitegemea, na kuboresha maisha yao kwa ujumla—ikiwaletea matumaini mapya na tabasamu la kweli.

Kila mmoja wetu ni mlemavu kwa muda na siku asiyoijua. Tujifunze kujali, kupenda, na kusaidiana kuboresha hali za wengine. Kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko chanya na kujenga jamii yenye utu na usawa.

04/01/2026

Voice of Women Africa, kwa kushirikiana na The Hand Project na Hospitali ya Wilaya ya Serengeti, wameandaa kambi ya kugawa mikono bandia kuanzia tarehe 30/3/2026 hadi 6/4/2026. Lengo ni kuwafikia na kuwainua watu wanaoishi bila mikono ili warejee kwenye maisha ya kujitegemea kwa heshima.

Mikono hiyo imebuniwa kusaidia kufanya kazi ngumu k**a kulima na kuandaa chakula. Hii itawasaidia kupunguza utegemezi, kuongeza uwezo wa kujitegemea, na kuboresha maisha yao kwa ujumla ikiwaletea matumaini mapya na tabasamu la kweli.

Kila mmoja wetu ni mlemavu kwa muda na siku asiyoijua. Tujifunze kujali, kupenda, na kusaidiana kuboresha hali za wengine. Kwa pamoja tunaweza kuleta mabadiliko chanya na kujenga jamii yenye utu na usawa. Vowa Veronica Kidemi

Recognition of Vowa  HARDWORK
03/25/2026

Recognition of Vowa HARDWORK

Learning from the best.  Stand firm change the world
03/25/2026

Learning from the best. Stand firm change the world

Tuungane kupaza sauti
03/25/2026

Tuungane kupaza sauti

02/08/2026

My past was full of cruelty, lakini sijakata tamaa. My scars became my strength, and today I am proud to be a Top Teacher and the Director of VOICE OF WOMEN AFRICA.

I am living proof that you can turn your pain into a platform for change.
Through my leadership, I empower women to find their voices and fight for their dignity.

Tunapambana every day kuhakikisha the voices of the oppressed are heard. It is our duty to stand up for those who cannot stand for themselves.
I invite you all to take action today. Let’s reach out and touch the lives of less served individuals in our communities. Hata hatua ndogo inaweza kuleta matumaini mapya. Join me in this mission of love and service! 🌍💪🏾✨

02/08/2026

Kuwa chanzo cha kulinda haki za binadamu. Gusa maisha ya watu . Saidia wahitaji. Duniani tumekuja uchi na tunarudi uchi hatuna cha kujivunia. Be humbled the world is in season. Be the change you want to see

Guys, I’m back from Alabama with a heavy heart. Seeing the reality of human rights violations was painful. Zamani, racis...
02/08/2026

Guys, I’m back from Alabama with a heavy heart.

Seeing the reality of human rights violations was painful. Zamani, racism was open and legal, but today it’s more systemic. It’s real tukemee pamoja.

Big salute to the founders of these museums kwa kazi nzuri. As Rosa Parks said, 'I would like to be remembered as a person who wanted to be free... so other people would be also free.'

Let’s respect human dignity and speak up against injustice. Tuishi kwa upendo na usawa. 🌍💔✊🏾

Address

Atlanta, GA

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vowa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Featured

Share