Kwako ni Kwetu Foundation

Kwako ni Kwetu Foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kwako ni Kwetu Foundation, Nonprofit Organization, Kizimkazi, Zanzibar.

SERIKALI INASHIRIKIANA NA MAHAKAMA KUTATUA CHANGAMOTO –DKT SAMIADODOMARais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia ...
01/02/2024

SERIKALI INASHIRIKIANA NA MAHAKAMA KUTATUA CHANGAMOTO –DKT SAMIA

DODOMA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amesema Serikali inaendelea na mkakati wa kutekeleza mapendekezo mengine yaliyotolewa na ripoti ya tume ya haki jinai ya kisera na kisheria na kwa kufanya hivyo pia ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi 2020-2025 ibara ya 120 ambayo inaitaka serikali pamoja na mambo mengine kuchukua hatua zaidi ya kupunguza mlundikano wa kesi mahakamani,kuimarisha vyombo vya sheria kwa kuongeza wigo wa kutoa huduma za utoaji wa haki nchini na kujenga mifumo ya TEHAMA na kuendeleza kuhimiza matumizi yake katika utoaji wa haki.

Rais Samia ameyasema hayo leo Februari mosi, 2024 kwenye kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini yaliyofanyika katika viwanja vya chingali Jijini Dodoma.

Dkt Samia amesema pamoja na uwekezaji mkubwa kwenye TEHAMA, serikali pia imeendelea kuimarisha utendaji wa mahakama kwa ujenzi wa majengo ya kisasa ya mahakama(vituo jumuishi vya kutolea haki) na kuongeza idadi ya watenda kazi.

KUMBUKA:- Idadi ya majaji wa mahakama ya rufani imeongezeka kutoka majaji 16 mwaka 2021 hadi 35 (pamoja na jaji mkuu) 2023, Majaji wa mahakama kuu imeongezeka kutoka 63 mwaka 2021 hadi 105 mwaka 2023.

28/01/2024

Heri ya siku ya kuzaliwa Dkt. Samia Suluhu Hassan

Address

Kizimkazi
Zanzibar

Telephone

+255772660414

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kwako ni Kwetu Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share