Timamu

Timamu Vituko, Utani, Burudani🎻, Matangazo, Urafiki👫, Mapenzi, Historia, Maarifa na kubadilishana Mawazo🌹

Mijadala, Utani, Habari, Matukio, Chemsha Bongo's, Mikasa, n.k vinapatikana hapa.

02/09/2026
Polisi wana roho nzuri sana ila tafsiri za Watanzania ndiyo zilikuwa potofu. Mwanaharakati Malisa GJ alipokelewa kifahar...
02/09/2026

Polisi wana roho nzuri sana ila tafsiri za Watanzania ndiyo zilikuwa potofu. Mwanaharakati Malisa GJ alipokelewa kifahari tena kwa Ulinzi wa Polisi na siyo kutekwa.

Mbona mapema sana hii jamani😁😁
02/09/2026

Mbona mapema sana hii jamani😁😁

Huyu nae kumbe alikuja kumbe ni k**a sisi tu.
02/09/2026

Huyu nae kumbe alikuja kumbe ni k**a sisi tu.

01/09/2026

Anayeapa kwa maneno "NAAPA KUTOMUUDHI MAMA" na anayetumia maneno "NAAPA KULINDA KATIBA YA JMT" nani yupo sahihi kwa sasa...
29/08/2026

Anayeapa kwa maneno "NAAPA KUTOMUUDHI MAMA" na anayetumia maneno "NAAPA KULINDA KATIBA YA JMT" nani yupo sahihi kwa sasa??

29/08/2026

Huyu ndiyo mwanamke hapendi sura anapenda picha ya mtu kwenye hela.

29/08/2026

Iwapo kila kiongozi anayepata nafasi neno la kwanza ni kitomzingua "Mama" je KATIBA ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania kwa sasa haitumiki k**a sehemu ya kiapo???

  sana...
29/08/2026

sana...

Address

Kawawa
Zanzibar

Telephone

+255622000444

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Timamu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share