Tayo Mkunazini Zanzibar

Tayo Mkunazini Zanzibar Tanzanian Anglican Youth organization (TAYO)

To render good physical and spiritual service to the youth of the Anglican Church of Tanzania.

Our Mission Statement is :
To provide good Christian service which will meet the needs of the Youth in Tanzania.

Baadhi ya picha za Misa ya Kipaimara iliyoongozwa na Askofu mstaafu Michael Hafidhi
07/04/2026

Baadhi ya picha za Misa ya Kipaimara iliyoongozwa na Askofu mstaafu Michael Hafidhi

06/04/2026

Easter Monday ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™

Ukiingia nyumbani mwa Bwana kamwe hutoki k**a ulivyo.Siku ya mkesha wa tarehe 28/02/2026 uliofanyika Mahonda, chini ya K...
01/03/2026

Ukiingia nyumbani mwa Bwana kamwe hutoki k**a ulivyo.

Siku ya mkesha wa tarehe 28/02/2026 uliofanyika Mahonda, chini ya Kanisa Anglikana Dayosisi ya Zanzibar, kulikuwa na maombi na maombezi yenye nguvu, yakiambatana na uwepo wa Mungu kwa namna ya kipekee.

Watu wengi walifunguliwa na kuguswa mioyoni mwao. Hakika Mungu ni Mkuu na mwaminifu katika maisha yetu.

Ibada ya Majivu iliyofanyika tarehe 18 Februari 2026 katika Kanisa Kuu la Kristo Mkunazini Zanzibar ilikuwa ya baraka na...
18/02/2026

Ibada ya Majivu iliyofanyika tarehe 18 Februari 2026 katika Kanisa Kuu la Kristo Mkunazini Zanzibar ilikuwa ya baraka na mafundisho makuu ya kiroho, ikihudhuriwa na viongozi mbalimbali wa serikali pamoja na waumini wengi. Ibada hii ilitukumbusha wito wa toba, unyenyekevu, na kujitakasa. Twaomba neema ya Mungu iendelee kutuongoza katika kipindi hiki cha Kwaresima na katika maisha yetu ya kila siku.

Address

CHRIST CHURCH CATHEDRAL ZANZIBAR
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tayo Mkunazini Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share