Zanzibar Gem Foundation

Zanzibar Gem Foundation Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Zanzibar Gem Foundation, Nonprofit Organization, Madinat Al Bahr, Zanzibar.

Zanzibar Gem Foundation is a non-profit organization that primarily focuses on the orange economy with the need to uplift, inspire, and unleash people's potential in Zanzibar

03/02/2026
16/12/2025

UKIWA MUONGO, USIWE MSAHAULIFU

Nasaha za MWENYEKITI WA ZANZIBAR GEM FOUNDATION NDUG AHMED KIPOZI ndani ya IQRA FM in Nairobi KenyaπŸ‡°πŸ‡ͺ

Jamii yetu inajengwa juu ya uaminifu na ukweli, Uongo unaweza kuonekana k**a kinga ya muda mfupi lakini kwa hakika ni sumu inayoharibu heshima mahusiano na mustakabali wa mtu.

Mtu anapokuwa muongo huanza kusahau alichokisema jana, na hapo ndipo aibu na fedheha huanzia.

NASAHA ZA MWENYEKITI WA ZANZIBAR GEM FOUNDATION KWA JAMII NI HII:

chagua kusema ukweli hata k**a unauma kwa sababu ukweli hujenga utu na kukuza heshima ya kudumu.

Uongo hukufunga katika minyororo ya hofu na kukufanya upoteze thamani mbele ya wale waliokuamini.

Tusijenge maisha kwa kukariri au kuiga bila tafakuri. Tujijenge kwa fikra mpya, akili pana na maadili mema, tukielekea kwenye dunia inayobadilika kwa kasi.

KUMBUKA: ukweli haukimbii lakini uongo haudumu.

HAKUNA CAREER BORA KULIKO YAKO Watu wengi leo wanasoma na kufanya kazi kwenye career zisizoendana na vipaji vyao, wakiam...
15/12/2025

HAKUNA CAREER BORA KULIKO YAKO

Watu wengi leo wanasoma na kufanya kazi kwenye career zisizoendana na vipaji vyao, wakiamini kuwa kuna career bora zaidi kuliko wanazozitamani mioyoni mwao.

Lakini ukweli ni huu:
Kila mtu huzaliwa na kipaji chake, Vipaji hivi havipaswi kutengenezwa na elimu, bali vinapaswa kukuzwa kupitia elimu.

Changamoto ya sasa ni kwamba :

Tunatumia elimu kutengeneza vipaji badala ya kuvikuza na Hii husababisha kuamini kuwa kuna career bora kuliko nyingine.

Ndiyo maana wengi husoma wasichokipenda Na hutumia maisha yao yote kufanya kazi zisizowafaa

Suluhisho linaanzia kwenye kuitambua safari yako binafsi ya career kulingana na vipaji ulivyopewa.

πŸ‘‰ Jiunge na Chairperson Zanzibar Gem Foundation AHMED KIPOZI kupitia MY CAREER JOURNEY
πŸ“» Ndani ya IQRA FM – Nairobi, Kenya πŸ‡°πŸ‡ͺ

23/12/2024

Kuweni makini na munayo sema.

23/12/2024
23/12/2024

"Umepewa siku nyingine sio tu kwa ajili yako, bali pia kusaidia wengine. Jenga tabia ya kutoa furaha kwa kila mtu unayekutana naye".

ASUBUHI NJEMA.


Address

Madinat Al Bahr
Zanzibar
00255

Telephone

+255625880332

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Zanzibar Gem Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Zanzibar Gem Foundation:

Share