Maalim Seif Foundation

Maalim Seif Foundation Founded 2021. Our mission is to help build , and societies.

Mamlaka ya nchi ni ya wananchi, na viongozi wanayashikilia k**a amana tu, kwa niaba ya wananchi  — Maalim Seif Sharif Ha...
30/05/2026

Mamlaka ya nchi ni ya wananchi, na viongozi wanayashikilia k**a amana tu, kwa niaba ya wananchi — Maalim Seif Sharif Hamad

Power belongs to the people, and leaders only hold it in trust - Maalim Seif Sharif Hamad
29/05/2026

Power belongs to the people, and leaders only hold it in trust - Maalim Seif Sharif Hamad

17/02/2026

Yaleli Kipenzi - Kalamu ya Mohammed Ghassani akimkumbuka Kiongozi wa Wazanzibari asiyesahaulika.

Miaka Mitano bila ya Maalim Seif (2021 - 2026)

Hawli ya Al Marhum Maalim Seif kesho Jumanne, tarehe 17 Februari, 2026, Saa 10:00 Alasiri, kwa kisiwa cha   itafanyika M...
16/02/2026

Hawli ya Al Marhum Maalim Seif kesho Jumanne, tarehe 17 Februari, 2026, Saa 10:00 Alasiri, kwa kisiwa cha itafanyika MSIKITI BARZA, MKUNAZINI.

Tujitokeze kwa wingi kwenda kumuombea Kipenzi chetu.

Hawli ya Al Marhum Maalim Seif kesho Jumanne, tarehe 17 Februari, 2026, Saa 10:00 Alasiri, kwa kisiwa cha   itafanyika M...
16/02/2026

Hawli ya Al Marhum Maalim Seif kesho Jumanne, tarehe 17 Februari, 2026, Saa 10:00 Alasiri, kwa kisiwa cha itafanyika MSIKITI WA NYALI, MTAMBWE.

Tujitokeze kwa wingi kwenda kumuombea Kipenzi chetu.

"All over the world the winds of change for a just cause always come at higher price. People go through political hardsh...
29/01/2026

"All over the world the winds of change for a just cause always come at higher price. People go through political hardship and sacrifice to achieve their rights and democratic freedoms. Ultimately, it is the taste of a hard-won Struggle for Democracy that prevails over the rest."

- Maalim Seif Sharif Hamad
19 May, 2020

  - Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na Dr. Salim Ahmed Salim wakati wa ufunguzi wa jengo la Chuo cha Mwalimu Nyerere, (Ka...
12/01/2026

- Maalim Seif Sharif Hamad akiwa na Dr. Salim Ahmed Salim wakati wa ufunguzi wa jengo la Chuo cha Mwalimu Nyerere, (Kampasi ya Zanzibar) mwaka 2012. Maalim Seif na Dr. Salim walikuwa marafiki na zama wakiwa CCM walikuwa pamoja kwenye harakati zao.

  - Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza Chatham House (Royal Institute for International Affairs), huko London, Uingere...
12/01/2026

- Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza Chatham House (Royal Institute for International Affairs), huko London, Uingereza mwezi Julai, 2016. Kulia kwake ni Dr. Alex Vines, Mkurugenzi wa Masuala ya Afrika kwenye Taasisi hiyo.

  - Waasisi wa Maridhiano ya Wazanzibari mwaka 2009, Maalim Seif Sharif Hamad na Dk. Amani Karume.
12/01/2026

- Waasisi wa Maridhiano ya Wazanzibari mwaka 2009, Maalim Seif Sharif Hamad na Dk. Amani Karume.

  - Mwezi Disemba 2018, Maalim Seif Sharif Hamad aliandaa Mkutano wa Kutathmini Mwelekeo wa Demokrasia Tanzania ambapo a...
11/01/2026

- Mwezi Disemba 2018, Maalim Seif Sharif Hamad aliandaa Mkutano wa Kutathmini Mwelekeo wa Demokrasia Tanzania ambapo aliwaalika viongozi mbali mbali wa vyama vikuu vya siasa na wanaharakati wa masuala ya demokrasia na utawala wa sheria. Mkutano huo ulifanyika Hoteli ya Verde, Zanzibar.

Pichani anaonekana akiwa pamoja na baadhi ya washiriki ambao ni Mohamed Ahmed Al Mugheiry (maarufu k**a Eddy Riyami), Mansoor Yussuf Himid, Ismail Jussa na Zitto Kabwe.

Address

Zanzibar
Zanzibar

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maalim Seif Foundation posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share