14/03/2026
*PONGEZI KWA Mh.RAISI WA TANZANIA Dr. SAMIA SULUHU*
JUMUIYA YA MAENDELO YA MTOTO NA KIJANA ZANZIBAR (ZACYDO)
inapenda kumpongeza Mh. Raisi Dr. Samia kwa kuonesha utu na kulinda maslahi, haki na maendeleo ya mtoto.
Maamuzi haya ta Kumualisa mtoto huyu yatasaidia
1. Kila mzazi kujua thamani ya mtoto maana hujui kesho yake
2. Kupinga suala ya utelekezaji wa watoto
3. Kutia mori wa kuripoti kesi na matukio yote ya utelekezaji wa watoto
4. Pamoja na kuhimiza uwajibishwaji kwa yyte atakaebainika anatelekeza m/watoto.
Pamoja na Mfano aliuonesha Mh. Raisi bado Taasis yetu ya ZACYDO Zanzibar imekuwa mstari wa mbele kuhimiza, kuelemisha umuhimu wa haki na ulinzi wa mtoto pamoja na kuchukua hatua za kuwasaidia watoto wenye uhitaji na waliopita ukatili kwa maendeleo yao na jamii kwa ujumla.
Jitijada hizi zinafanyika kwa kushirikiana na wadau mbali mbali
Asante Mh. Raisi kwa kuwa kigezo chema katika kulinda maslahi na maendeleo ya watoto wetu.
UJUMBE KWA JAMII *"Maendeleo ya mtoto wetu ni maendeleo yetu, usiteleke