Africa Anti Evil Ambassadors

Africa Anti Evil Ambassadors Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Africa Anti Evil Ambassadors, Non-Governmental Organization (NGO), Tegeta.

Kila mwananchi anajukumu la kukemea uovu unaotokea ndani ya jamii iwe ni uovu unaohatarisha amani ya Nchi au hata ule un...
16/05/2026

Kila mwananchi anajukumu la kukemea uovu unaotokea ndani ya jamii iwe ni uovu unaohatarisha amani ya Nchi au hata ule unaoporomosha maadili yetu tusimame imara.

Aisee sisi k**a Mabarozi wa kupinga na kukemea vitendo hivi tunalaani kwa nguvu zote tukio hili na matukio mengine yanay...
14/05/2026

Aisee sisi k**a Mabarozi wa kupinga na kukemea vitendo hivi tunalaani kwa nguvu zote tukio hili na matukio mengine yanayotokea katika jamii yetu, tunaisii jamii kuepukana na imani potofu ambazo zinazorotesha amani na kuleta taharuki katika jamii sisi k**a Africa Anti Evil Ambassadors tunasema vitendo hivi sasa mwisho tuungane kuvipinga na kuripoti viashiria vyote

13/05/2026

Kuna haja sisi k**a Taifa tutambue jukumu la kulinda na kutetea mila na utamaduni wetu sisi k**a Watanzania ni jukumu la kila mwananchi, kila kundi, hivyo kwa mzee k**a huyu kutenda kitendo alichotenda haikuwa sahihii kwakua katambua wapi alikosea na Mh. Dorothy Gwajima Tayali kashapokea ombi la kukiri na kuomba msamaha kwa Mzee huyu.

Maadili mema wazee wetu walituachia hivyo tujitahidi katika kuyaendeleza na sisi tuwaachie watoto wetu.

Dorothy Gwajima

Address

Tegeta

Telephone

+255767651735

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Africa Anti Evil Ambassadors posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share