Maahad Shamsil Maa'rif

Maahad Shamsil Maa'rif Official Maahad Shamsil Maa'rif Page

11/02/2026

Tunaanza tena Istighfar Challenge, sasa ni 7 DAYS ISTIGHFAR CHALLENGE

Tumswalie Mtume Muhammad Swallallahu alayhi wa Salaam na Sadaqa..Tujitahidi kusoma angalau X 2500 kila moja kabla siku haijaisha na kutoa Sadaqa

08/02/2026

Vijana waaswa kubadilika...haya maisha ya dunia ni upuuzi na udanganyifu..Maisha ya kweli ni maisha ya akhera

31/01/2026

Dua kutoka kwa wanafunzi wa Maahad Shamsil Maarif

31/01/2026
21/12/2025

Misikiti ni nyumba za ALLAH

20/12/2025

Follow Maahad Shamsil Maarif Islamiyya,Madrassa,Misikiti&Yatima's WhatsApp channel. KARIBU katika Channel yetu ya Kusaidia kuumarisha/kuboresha MISIKITI,MADRASSA na VYUO vya kiislam Tanzania
Tusaidiane kutatua changamoto zinazokabili maeneo haya yanayotoa Elimu ya dini ya KIISLAMU.

Tumeanza na chuo cha SHAMSUL MAARIF kilichopo DUGA Jijini TANGA.Kuna Changamoto ya ufinyu wa Malazi kwa wanachuo,mazingira duni ya Kusomea pamoja na changamoto ya Chakula kwa wanachuo.

Kila TSHS.moja utakayotoa Kusaidia vijana wetu wanaopigana jihadi ya kutafuta elimu ya kumjua Mwenyezi Mungu,HAKIKA utakuwa umeshiriki katika Jambo kubwa mno na ALLAH atakupa Ujira wako hapahapa duniani na kesho akhera BiidhiniAllah.. Get the latest updates directly on WhatsApp.

19/12/2025

Sikiliza Mpaka Mwisho

09/12/2025

Usipomtumikia Allah utashughulishwa na dunia..

Address

Tanga
211XX

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Maahad Shamsil Maa'rif posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share