01/04/2026
Ukipata wasaa wa kuhamasisha hamasisha watu kuchukua hatua njema zitakazo jibu maswali katika jamii.
Miss Planet Tanzania ameendelea kutumia taji lake la urembo katika kuhamasisha jitihada za utunzaji Mazingira.
Mazingira yana mhitaji kila mmoja wetu ungana nasi katika jitihada za utunzaji mazingira.