Standing Voice Tanzania

Standing Voice Tanzania Standing Voice inashughulika na kukuza ujumuishwaji na kukomesha ukiukwaji wa haki za binadamu dhidi ya watu wenye ualbino Afrika Mashariki.
(1)

We join each and everyone in commemorating this important and special Day 🫶"PROUDLY IN MY SKIN"
13/06/2026

We join each and everyone in commemorating this important and special Day 🫶

"PROUDLY IN MY SKIN"

Ni muhimu sana mtu mwenye 'albinism', wazazi na walezi kuhakikisha tunazingatia kanuni zote za kujikinga na mionzi hatar...
11/06/2026

Ni muhimu sana mtu mwenye 'albinism', wazazi na walezi kuhakikisha tunazingatia kanuni zote za kujikinga na mionzi hatari ya jua ili kuepuka athari za kupata saratani ya ngozi.

Hudhuria kliniki za uchunguzi wa saratani ya ngozi kila mara k**a inavyoelekezwa na madaktari wetu wa ngozi.

Viashiria vyovyote hatarishi vinapogunduliwa mapewa huweza kutibiwa na kupona kabisa.

MAISHA BILA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' YANAWEZEKANA

📸Innocent Mwandu

Standing Voice Tanzania Albinism Society Regional Dermatology Training

Ratiba yetu ya kliniki za uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Dar Es Salaam imeanza leo.Taf...
17/05/2026

Ratiba yetu ya kliniki za uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Dar Es Salaam imeanza leo.

Tafadhali usikose ratiba hii.

MAISHA BILA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' TANZANIA YANAWEZEKANA

Afya bora ndio chachu ya ustawi wa familia na nchi yetu🫶Tunajali na kuthamini sana ushirikiano wa Serikali katika kuhaki...
14/05/2026

Afya bora ndio chachu ya ustawi wa familia na nchi yetu🫶

Tunajali na kuthamini sana ushirikiano wa Serikali katika kuhakikisha huduma hizi za kuzuia na kupambana na saratani ya ngozi zinawafikia watu wote wenye 'albinism' hapa Tanzania🫶

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUZUIA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' TANZANIA

📸

Ratiba yetu ya kliniki za uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Pwani inaanza leo. INAWEZEKAN...
13/05/2026

Ratiba yetu ya kliniki za uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Pwani inaanza leo.

INAWEZEKANA KABISA KUZUIA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' TANZANIA

Unaweza KUTIMIZA MALENGO YAKO. Zingatia maelekezo ya madaktari wa ngozi ili kuepuka saratani. Inawezekana kabisa kuepuka...
06/05/2026

Unaweza KUTIMIZA MALENGO YAKO. Zingatia maelekezo ya madaktari wa ngozi ili kuepuka saratani.

Inawezekana kabisa kuepuka na kuzuia athari za mionzi ya jua.

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUZUIA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' TANZANIA

📸

Ratiba ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Morogoro imeanza. Tafadhali sambaz...
28/04/2026

Ratiba ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Morogoro imeanza.

Tafadhali sambaza taarifa hii kwa ndugu jamaa na rafiki yako mwenye 'albinism' ili asikose kliniki hii muhimu kwa ustawi wa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Morogoro.

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUZUIA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' TANZANIA

Leo ratiba ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Tanga inaanza. Sambaza taarifa...
26/04/2026

Leo ratiba ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Tanga inaanza.

Sambaza taarifa hii kwa ndugu jamaa na rafiki yako mwenye 'albinism' ili asikose huduma hii muhimu.

MAISHA BILA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' TANZANIA YANAWEZEKANA

Afya ya ngozi ni muhimu sana kwa mtu mwenye 'albinism' ili kuepuka saratani. Inawezekana kabisa kujikinga na kuepuka mio...
23/04/2026

Afya ya ngozi ni muhimu sana kwa mtu mwenye 'albinism' ili kuepuka saratani. Inawezekana kabisa kujikinga na kuepuka mionzi ya jua kwa kuzingatia na kufuata ushauri wa madaktari.

JILINDE DHIDI YA SARATANI YA NGOZI ILI UWEZE KUTIMIZA MALENGO YAKO.

📸

Ratiba yetu ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Iringa inaanza leo.USIKOSE
20/04/2026

Ratiba yetu ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Iringa inaanza leo.

USIKOSE

Address

Tanga
211XX

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Standing Voice Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Standing Voice Tanzania:

Shortcuts

Share