INUKA KIJANA

INUKA KIJANA Vijana ndio nguvu kazi na chachu ya maendeleo. Kumkomboa kijana kifikra ndio njia pekee yakuleta mabadiliko chanya yatakayopelekea maendeleo ya kweli.

UJUMBE KWA VIJANA WENZANGUHabari za leo Vijana wenzangu? Natumai wote tuwazima wa afya na tunaendelea vizuri. Kwa wale w...
31/12/2024

UJUMBE KWA VIJANA WENZANGU

Habari za leo Vijana wenzangu?
Natumai wote tuwazima wa afya na tunaendelea vizuri. Kwa wale wenye changamoto Mungu atawafanyia wepesi kwenye changamoto zao.

Sisi Vijana tunazo *ndoto,* ndoto hizi hutofautiana kulingana na shauku, vipaji, imani pamoja na uwezo ambao Mungu kila mtu amemjaalia, tuendelee kuzipigania ndoto zetu bila kuchoka Wala kukatishwa tamaa.

Mwaka 2024 tulijiwekea malengo mbalimbali, wapo miongoni mwetu wamefanikiwa kuyatimiza baadhi ya malengo yao kikamilifu, tunawapingeza na kuwaombea kwa Mungu kila la kheri.

Wapo ambao miongoni mwetu malengo yao ndani ya huu mwaka hayakutimia kabisa kutokana na sababu mbalimbali, *tusikate tamaa* tuendelee kutiana moyo na kuombeana Mungu atufanyie wepesi kuyafikia malengo ya ndoto zetu. Hakika nafasi bado tunayo na *hata kesho jua litachomoza tena*.

Tuendelee kupambana na kuzikimbizia ndoto zetu kwa hari na shauku kubwa, huku tukiamini *ipo siku mambo yatajipa tu*. Ni makosa makubwa sana kukata tamaa kwa kile unachokipigania, tuendelee kupambana huku tukimtumainia Mungu katika tunayoyaendea.

Mwaka huu ndio umeshaisha, basi mwaka mpya ukawe mwaka wa baraka na ufunguo wa kufungua kila hitaji letu.
Nawatakia heri na fanaka ya mwaka mpya wa 2025.

Nimimi Ndungu yenu

*Swalehe Iddi Mwamnyeke*

08/08/2024
Ujana ni fursa
23/05/2024

Ujana ni fursa

BEST QUALITY CHALK ni kiwanda kidogo Cha Vijana wa Tanga kinachojihusisha na utengenezaji wa chaki za aina zote. Tunauza...
15/04/2024

BEST QUALITY CHALK ni kiwanda kidogo Cha Vijana wa Tanga kinachojihusisha na utengenezaji wa chaki za aina zote.

Tunauza kwa jumla na rejareja. Tunapatikana kwa namba 0625157189 kwa mawasiliano zaidi.

Leo nimeshiriki kwenye Kongamano la Vijana kwenye hafla ya Mwenge viwanja vya Usagara. Nashkuru kwa kupata heshma hii ya...
15/04/2024

Leo nimeshiriki kwenye Kongamano la Vijana kwenye hafla ya Mwenge viwanja vya Usagara. Nashkuru kwa kupata heshma hii ya kuwa miongoni mwa wazungumzaji na muongoza mada.

Twendeni Usagara kwenye Kongamano la Vijana.Na Mimi pia nitakuwepo 💪🏽
13/04/2024

Twendeni Usagara kwenye Kongamano la Vijana.
Na Mimi pia nitakuwepo 💪🏽

Wametuandama sana mwaka huu kutusema sisi Vijana. Lakini wanajisahau
18/10/2023

Wametuandama sana mwaka huu kutusema sisi Vijana. Lakini wanajisahau

Nani kuibuka Bingwa wa Mabawa Super Cup 2023?
13/10/2023

Nani kuibuka Bingwa wa Mabawa Super Cup 2023?

Nani kuutwaa ubingwa wa Mabawa Super Cup 2023?
08/10/2023

Nani kuutwaa ubingwa wa Mabawa Super Cup 2023?

Tangawizi kipande + Tikiti Maji Kipande, tengeneza juisi yake na badala ya kuweka maji, tumia maziwa fresh glass mojaIki...
07/10/2023

Tangawizi kipande + Tikiti Maji Kipande, tengeneza juisi yake na badala ya kuweka maji, tumia maziwa fresh glass moja

Ikiwa tayari chuja, kisha mimina vijiko kadhaa vya asali

Kunywa mara moja tu kwa siku au japo kwa wiku mara nne hadi tano

Tahadhari: Hakikisha una ndoa maana mziki wake sio poa, Muhimu uwe mtu wa kegel na kuzingatia milo yako.

Kivumbi hicho
06/10/2023

Kivumbi hicho

Address

Makorora
Tanga

Telephone

+255782220212

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when INUKA KIJANA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share