21/05/2026
Naishauri serikali itazame namna ya kuweka kikokotoo pia kwa wabunge na makato ya 25% ya posho za wabunge ili kumsaidia Rais badala ya kuongeza utitiri wa makato ya tozo kwa wananchi na kupunguza kodi kwenye mishahara ya wafanyakazi sekta za umma na binafsi.