MYDO - Mikunguni Youth Development Organization

MYDO - Mikunguni Youth Development Organization MYDO is a social, voluntary, and nonpartisan organization which aims to develop youth participation in solving economic, cultural and educational issues.

MYDO is working directly with the local community in Zanzibar Islands, and provides exceptional and affordable volunteer opportunities for those dedicated people who are ready to donate their time, skills, and energy for youth of Zanzibar. MYDO’s main projects are focused on Organizational Development, Education, Employment, Gender, Environment, and Personal Hygiene.

Eid Mubarak From Us To You And Your Beloved Family
27/05/2026

Eid Mubarak From Us To You And Your Beloved Family

17/05/2026
Happy Mothers Day 🌸K**a mlezi wa vijana, tunatambua na kuthamini nguvu, upendo na mchango wa mama katika kulea kizazi bo...
10/05/2026

Happy Mothers Day 🌸

K**a mlezi wa vijana, tunatambua na kuthamini nguvu, upendo na mchango wa mama katika kulea kizazi bora cha kesho.

Asanteni kwa kuwa msingi wa maendeleo ya jamii yetu. ❀️



HAPPY KARUME DAY
07/04/2026

HAPPY KARUME DAY

Happy EasterπŸ’
05/04/2026

Happy EasterπŸ’

MYDO 🀝 SEBEP (Swipe>>>)Kwa pamoja tunaunganisha nguvu kuwawezesha vijana, hasa wasichana, kujiamini na kuchangamkia elim...
25/02/2026

MYDO 🀝 SEBEP (Swipe>>>)

Kwa pamoja tunaunganisha nguvu kuwawezesha vijana, hasa wasichana, kujiamini na kuchangamkia elimu ya Sayansi (STEM). Kupitia mafunzo, uhamasishaji na ushirikishwaji wa jamii, tunajenga kizazi chenye maarifa na mchango chanya kwa maendeleo ya Zanzibar. πŸŒ±πŸ“šβœ¨





Mgeni Rasmi wa Bonanza alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B, Ndg. Aamur Mmanga.Bingwa wa bonanza alikabidhiwa kombe na ...
18/02/2026

Mgeni Rasmi wa Bonanza alikuwa Mkuu wa Wilaya ya Magharibi B, Ndg. Aamur Mmanga.
Bingwa wa bonanza alikabidhiwa kombe na zawadi mbalimbali kwa upande wa REDE na Football. ⚽🏐

Tukio hili liliwalenga vijana: kuwasisimua, kuwakumbusha umuhimu wa michezo kila siku, na kutoa fursa ya kuwaeleza jinsi SEBEP inavyoweza kuwa mkombozi katika maisha ya vijana kupitia uchumi wa buluu na sayansi ya bahari. πŸŒŠπŸ’‘

Jiandae kwa siku ya burudani, ushindani na vipaji! Michezo miwili mikubwa itachezwa REDE (Nage) na FOOTBALLhuku zawadi k...
14/02/2026

Jiandae kwa siku ya burudani, ushindani na vipaji! Michezo miwili mikubwa itachezwa

REDE (Nage) na FOOTBALL

huku zawadi kabambe zikisubiri washindi. Hii ni siku ya nguvu na heshima! πŸ’ͺ

πŸ“ Kiwanja cha Kiembe Samaki
πŸ“… Jumapili, 15/02/2026
⏰ Saa 8 mchana hadi saa 12 jioni

🏐 MCHEZO WA REDE
Fighter Nage Queens πŸ†š Women Fighter
πŸ•— Saa 8 mchana

⚽ MCHEZO WA FOOTBALL
Yang Kid πŸ†š Rially
πŸ•€ Saa 9:30 jioni

🎁 Zawadi kabambe zitatolewa
πŸ”₯ Usikose kushuhudia burudani na ushindani wa kweli

Karibuni Sana Kwenye Bonanza linalopewa Nguvu Na Mradi Wa SEBEP

SEBEP – Skills for Employment through Blue Economy ProjectTumefanya mkutano wa uelekezaji (sensitisation) kwa wanafunzi ...
28/01/2026

SEBEP – Skills for Employment through Blue Economy Project

Tumefanya mkutano wa uelekezaji (sensitisation) kwa wanafunzi kutoka skuli mbalimbali za Wilaya ya Magharibi B, tukio lililofanyika katika Skuli ya Dr. Samia, kwa lengo la kuwafahamisha kuhusu fursa zinazotolewa na Mradi wa SEBEP, hususan katika sekta ya Uchumi wa Buluu.

Kupitia mradi huu, vijana wanawezeshwa kupata elimu na ujuzi unaowaandaa kwa ajira, kujitegemea na ujasiriamali endelevu.



Address

Stone Town

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when MYDO - Mikunguni Youth Development Organization posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to MYDO - Mikunguni Youth Development Organization:

Shortcuts

Share