FAWE Zanzibar

FAWE Zanzibar We are an NGO working to increase gender equity and opportunities in Zanzibar.

Waratibu kutoka kusini wakiwa katika mkutano wa kuwasilisha na kuandaa Mpango Kazi wa  kutoa elimu kwa vijana juu ya sua...
29/01/2024

Waratibu kutoka kusini wakiwa katika mkutano wa kuwasilisha na kuandaa Mpango Kazi wa kutoa elimu kwa vijana juu ya suala la Udhalilishaji ....... Mkutano ambao umeandaliwa na kusimamiwa na FAWE ZANZIBAR na UN WOMEN

Fawe zanzibar ilipowatembelea watoto wa Tumbatu ambao uwezo wa wazazi wao ni mdogo kimaisha ili kuwapima watoto hao kwa ...
24/01/2024

Fawe zanzibar ilipowatembelea watoto wa Tumbatu ambao uwezo wa wazazi wao ni mdogo kimaisha ili kuwapima watoto hao kwa ajili ya kuwasaidia kupata sare (FOMU) za skuli

20/12/2023

Board Member Bi Sabrina kutoka FAWE ZANZIBAR.....akisoma risala katika hafla ya ugawaji wa mitungi ya Gas kwa wanawake wa vijijini wa mkoa wa KUSINI ambao ni wanufaika wa mradi wa Kuwawezesha wanawake kiuchumi unaoendeshwa na FAWE ZANZIBAR kwa ufadhili wa UN WOMEN

15/12/2023

Washiriki wakamilisha mafunzo ya RESPECT yaliyoendeshwa na UN WOMEN na FAWE ZANZIBAR
13/12/2023

Washiriki wakamilisha mafunzo ya RESPECT yaliyoendeshwa na UN WOMEN na FAWE ZANZIBAR

Wanafunzi ambao ni wanufaika wa mradi wa MALALA FUND wakiendelea na kupata mafunzo ya mapishi ...Kaskazini Unguja
05/12/2023

Wanafunzi ambao ni wanufaika wa mradi wa MALALA FUND wakiendelea na kupata mafunzo ya mapishi ...Kaskazini Unguja

Wanafunzi ambao ni wanufaika wa mradi wa MALALA FUND wakiwa kwenye mafunzo ya kivitendo huko Kaskazini Unguja
04/12/2023

Wanafunzi ambao ni wanufaika wa mradi wa MALALA FUND wakiwa kwenye mafunzo ya kivitendo huko Kaskazini Unguja

Wazazi wa watoto ambao wana mahitaji maalumu wakipata mafunzo ya lugha za alama ...Ukumbi DKT samia suluhu primary schoo...
26/11/2023

Wazazi wa watoto ambao wana mahitaji maalumu wakipata mafunzo ya lugha za alama ...Ukumbi DKT samia suluhu primary school

We are  !Please see attached post for the position of Program Gender Officer with
09/11/2023

We are !
Please see attached post for the position of Program Gender Officer with

Address

Vuga Road
Stone Town

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when FAWE Zanzibar posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share