Kanisa La Waadventista Wa Sabato-Ikungi

Kanisa La Waadventista Wa Sabato-Ikungi Hii ni page Maalumu kwa ajili ya Kanisa. Page inasimamiwa na Mkuu wa Mawasiliano kwa ajili ya kutoa Taarifa za Kanisa, kazi ya Utume na masomo mbalimbali.

15/01/2021

NI JAMBO LA KUMSHUKURU SANA MUNGU KUTUVUSHA SALAMA KUTOKA 2020 HADI 2021.
HAPPY NEW YEAR TO ALL MEMBERS...

08/10/2020
11/08/2020

NIWATAKIE AMANI YA KRISTO...
(WAEBRANIA 12:14)

24/06/2020

TANGAZO TANGAZO TANGAZO.
KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO IKUNGI LINAWATANGAZIA WATU WOTE NA KUWAKARIBISHA KATIKA SIKUKUU ZA MAKAMBI(VIBANDA) ITAKrAYOANZA TAR 12-18/7/2020.
MHUBIRI MKUU ATAKUA NI PASTOR BARNABAS MWENYEKITI WA JIMBO LA BONDE LA UFA(TRVF) PAMOJA NA MWENYEJI WAKE PR JOSEPH METARUS.
KWAYA MBALIMBALI ZITAKUWEPO.
USIPANGE KUKOSA.

Address

Ikungi
Singida

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kanisa La Waadventista Wa Sabato-Ikungi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share