30/06/2026
Kaka,Dada,Mama,Baba Nawashauri wale ambao bado mna uchungu msiwe washauri wa wengine.. tulieni mpone kwanza uchungu wenu alaf ndio muanze kushauri.
Hiii itakusaidia sana usiwapotoshe wale wanaokuamini na kukuheshimu, na kutokupoteza hadhi yako katika jamii.