Sikonge Disabilities and Orphanage Center.

Sikonge Disabilities and Orphanage Center. SDOC Is the Non Profit Organization Focuses on improving the living Standards of People with Disabilities and Orphans.

We provide Sunscreen Lotions and We Educate Community to Bring Children with Albinisms, disability and Orphans to School.

22/03/2026

Mungu wangu

19/11/2025

Ratiba ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye 'albinism' Mkoa wa Tanga inaanza. Tafadhali upatapo taarifa hii ifikishe kwa ndugu jamaa na rafiki yako mwenye 'albinism' ili asikose.

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUZUIA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE 'ALBINISM' TANZANIA

16/11/2025

Ratiba ya Kliniki ya kliniki ya ngozi kwa watu wenye albinism Mkoa wa Dar es salaam inaanza leo. Ni mzunguko wa pili kwa mwaka huu wa 2025.
Jitahidi uhudhurie kliniki hizi na pia mjulishe mtu mwenye albinism unaye mfahamu aweze kuhudhuria pia.

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUZUIA SARATNI YA NGOZI KWA WATU WENYE ALBINISM TANZANIA

13/11/2025

Hàbar I nzuri Kwa watu Wenye ualbino

02/04/2025
25/03/2025

Ratiba ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi Mkoa wa Shinyanga inaanza. Tafadhali upatapo taarifa hii wajulishe ndugu, jamaa na rafiki mwenye ualbino ili asikose huduma hii muhimu.
Afya bora kwa ustawi wa watu wenye ualbino Tanzania.

14/03/2025

🫶Ratiba ya kliniki ya uchunguzi wa saratani ya ngozi kwa watu wenye ualbino Mkoa wa Mwanza inaanza Jumamosi hii tarehe 15 Machi, 2025.

Tafadhali sambaza taarifa hii kwa ndugu jamaa na marafiki ili asiwepo wa kukosa huduma hii muhimu kwa ustawi wa watu wenye ualbino Mkoa wa Mwanza🫶

KWA PAMOJA TUNAWEZA KUZUIA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE UALBINO TANZANIA


23/02/2025

RATIBA YA KLINIKI ZA UCHUNGUZI WA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE UALBINO MKOA WA IRINGA INAANZA Februari 25, 2025.

Kliniki hizi za uchunguzi wa saratani ya ngozi ni muhimu sana kwa mtu mwenye ualbino. Husaidia kugundua mapema dalili za awali za saratani na kutibiwa. Afya bora ni ustawi wa maisha yetu.

TUNAWEZA KUZUIA SARATANI YA NGOZI KWA WATU WENYE UALBINO TANZANIA

31/12/2024

TANZIA

Kwa masikitiko makubwa tunawajulisha kifo cha Mwenyekiti wa Shirikisho la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA) ambae pia ni Diwani wa Kata ya Chumbageni na Mwenyekiti Mstaafu wa TAS, Ernest Kimaya. Kifo kimetoka jana 30/12/2024 jioni katika Taasisi ya Saratani Ocean Road.

Tujumuike na familia yake katika sala na maombolezo kwa msiba huu mzito.

Taratibu nyingine zinapangwa na tutaendelea kuwajulisha.

Roho ya Marehemu Ernest Kimaya ipumzike kwa amani. Amina!

05/12/2024

Thank you so much to everyone who has donated to our campaign so far: your generosity is helping us fight for a safer, and healthier future for people with albinism and their families throughout Tanzania and Malawi.

🫶 To help us reach our target and maximise our impact, please support our campaign 👉 https://buff.ly/418GxDy

📸 Mite Organization

"

05/12/2024

Address

Misheni
Sikonge

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 17:00
Sunday 09:00 - 17:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Sikonge Disabilities and Orphanage Center. posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Sikonge Disabilities and Orphanage Center.:

Shortcuts

Share