Mipa Secondary School Legends

Mipa Secondary School Legends This page is intended to bring together all people studied at Mipa secondary school and all those who are interested.

Watu wangu wa nguvu mipa legends stand up
03/05/2022

Watu wangu wa nguvu mipa legends stand up

12/05/2020

Hello guys reds and gentlemen!

In big thinking
07/07/2019

In big thinking

07/07/2019

Mipa sec regends
Nini maoni yenu katika kufufua group la kidato chetu?

Nawaza mwanafunz huyu K**a alitumia maarifa aliyofundishwa na mwalimu kujibu swali no 23 nin maoni Yako kwa mwalimu huyo...
12/09/2017

Nawaza mwanafunz huyu K**a alitumia maarifa aliyofundishwa na mwalimu kujibu swali no 23 nin maoni Yako kwa mwalimu huyo!

Niatajie debate unayo ikumbuka kipindi unasoma Mipa!
11/09/2017

Niatajie debate unayo ikumbuka kipindi unasoma Mipa!

Ndio kabisaaa NGAIZA Akanifanya nichukie MATHEMATICS  Japo akili yangu ilinituma eti nimepatia
10/09/2017

Ndio kabisaaa NGAIZA Akanifanya nichukie MATHEMATICS Japo akili yangu ilinituma eti nimepatia

Ni faraja kwangu kuona mchango wa Mipa secondary katika kuitumikia Tanzania  Ndg wanafunz woote tuliosoma mipa sekondar ...
10/09/2017

Ni faraja kwangu kuona mchango wa Mipa secondary katika kuitumikia Tanzania
Ndg wanafunz woote tuliosoma mipa sekondar naamini tumeenea Tanzania nzima katika sekta zote kilimo, elimu, afya, utawala, mifugo, ulinzi na usalama na ujasilia Mali kwa ujumla .

Tuna kila sababu ya kukumbukana wapi tulipo na kujuana yamkini tupo binadam hukutana na tumetoka mipa sec

Mimi binafs najivunia kusoma Mipa sec
Na leo ni ledends wa mipa sec karibuni mbogwe mkoa wa geta

13/11/2016

Tafiti zinaonyesha wanawake waofiwa na waume {wajane} ni wengi zaidi kuliko wanaume waliofiwa na wake zao {wagane} licha ya kuwa na tofaut ndogo ya umri wao na pengne wanalingana umri. Kisayansi tunaweza kuthbitisha kwanin?

Nawatakia Siku njema.
17/02/2016

Nawatakia Siku njema.

Maandalizi mema ya Noeli na mwaka mpya.
17/12/2015

Maandalizi mema ya Noeli na mwaka mpya.

hivyi ndivyo hali ilivyo kuwa nadn ya ukumbi wakahakikisha lowasa anakwaktwaaa mizengwe yakamilika hadi saa7 usku.
11/07/2015

hivyi ndivyo hali ilivyo kuwa nadn ya ukumbi wakahakikisha lowasa anakwaktwaaa mizengwe yakamilika hadi saa7 usku.

Address

Shinyanga

Telephone

+255686609669

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mipa Secondary School Legends posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share