22/09/2026
Uhamasishaji wa Afya ya Uzazi
Vipeperushi vyenye jumbe kuhusu Afya ya Uzazi na Uzazi wa Mpango vimebandikwa katika vituo vya afya vya Meatu na Maswa kupitia Mradi wa -IN.
Kupitia jumbe hizi, jamii inahamasishwa kupata taarifa sahihi kuhusu afya ya uzazi, huduma za uzazi wa mpango na kufanya maamuzi sahihi kwa afya na ustawi wa familia.