AICT Shinyanga Choir

AICT Shinyanga Choir AICT Shinyanga Choir ni kikundi cha waimbaji waliozaliwa mara ya pili kutoka katika Kanisa la AICT, Dayosis ya Shinyanga na Pastorate ya Kambarage.

Lengo la kwaya ni kuhubiri Injili mahali pote kwa njia ya uimbaji.

Heri ya Jumapili.AIC Shinyanga Choir inaendelea kukukaribisha kuendelea kuchangia ununuzi wa bus la kwaya kwa ajili ya k...
08/01/2023

Heri ya Jumapili.

AIC Shinyanga Choir inaendelea kukukaribisha kuendelea kuchangia ununuzi wa bus la kwaya kwa ajili ya kupeleka injili kwa njia ya uimbaji sehemu mbalimbali za nchi yetu.
Karibu tushiriki pamoja baraka hizi na Mungu atubariki sote.

Warumi 10;15
"Tena wahubirije, wasipopelekwa? K**a ilivyoandikwa, Ni mizuri k**a nini miguu yao wahubirio habari ya mema!"




Pumzika kwa amani askofu, mstaafu Dkt. Kitula🙏AIC Shinyanga Choir inatoa pole kwa familia na kanisa lote kwa ujumla.2Tim...
30/12/2022

Pumzika kwa amani askofu, mstaafu Dkt. Kitula🙏

AIC Shinyanga Choir inatoa pole kwa familia na kanisa lote kwa ujumla.

2Timotheo 4:7

Kwa neema ya Mungu, tuko tayari kuihubiri injili ya Yesu Kristo hapa AICT TUMAINI-KATOROK**a upo karibu na maeneo haya, ...
24/12/2022

Kwa neema ya Mungu, tuko tayari kuihubiri injili ya Yesu Kristo hapa AICT TUMAINI-KATORO

K**a upo karibu na maeneo haya, karibu tumtukuze Mungu kwa pamoja.

Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanaume, nao utawala utakua mabegani mwake. Naye ataitwa Msha...
16/12/2022

Kwa maana, kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, tumepewa mtoto mwanaume, nao utawala utakua mabegani mwake. Naye ataitwa Mshauri wa Ajabu, Mungu Mwenye Nguvu, Baba wa Milele, Mfalme wa Amani. Isaya 9:6

🎄Tukutane AIC TUMAINI KATORO krismass hii na tumtukuze Mungu kwa Pamoja🎄

*Basi alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe*. Hongera sana Mr&Mrs James Kiloba kwa kutimiza Agano la Mungu
10/12/2022

*Basi alichokiunganisha Mungu mwanadamu asikitenganishe*. Hongera sana Mr&Mrs James Kiloba kwa kutimiza Agano la Mungu

Onstage               Miziki inalia Hapa igoma Mwanza 🎹🎤🎼🥁🎸
04/12/2022

Onstage Miziki inalia Hapa igoma Mwanza 🎹🎤🎼🥁🎸

Hiiiii Sio yakukosa nikatika viwanja vya Igoma Mwanza
01/12/2022

Hiiiii Sio yakukosa nikatika viwanja vya Igoma Mwanza

Address

Shinyanga

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AICT Shinyanga Choir posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to AICT Shinyanga Choir:

Share