Brownsville international inc Kanisa la Maskani ya Bwana Moshi Kilimanjaro

  • Home
  • Tanzania
  • Pasua
  • Brownsville international inc Kanisa la Maskani ya Bwana Moshi Kilimanjaro

Brownsville international inc Kanisa la Maskani ya Bwana Moshi Kilimanjaro Maskani ya Bwana is among the Pentecostal churches. Why we call Pentecost church, because we put our faith in Pentecost.

We baptize in much water, we speak in tongues and we also shere together the holy Communion

21/10/2025

praise the Lord Jesus! this is Maskani ya Bwana church in Moshi rural district, (shabaha)we need your prayers for accomplish this building!
(Haggai 1:8
---------------
Go up to the mountains and bring wood and build the temple, that I may take pleasure in it and be glorified," says the Lord.

06/12/2024
Jihoji kabla ya kushiriki meza ya Bwana1 Wakorintho 11:27-3227 Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho ch...
04/11/2024

Jihoji kabla ya kushiriki meza ya Bwana
1 Wakorintho 11:27-32
27 Basi kila aulaye mkate huo, au kukinywea kikombe hicho cha Bwana isivyostahili, atakuwa amejipatia hatia ya mwili na damu ya Bwana.

28 Lakini mtu ajihoji mwenyewe, na hivyo aule mkate, na kukinywea kikombe.

29 Maana alaye na kunywa, hula na kunywa hukumu ya nafsi yake, kwa kutokuupambanua ule mwili.

30 Kwa sababu hiyo wako wengi kwenu walio hawawezi na dhaifu, na watu kadha wa kadha wamelala.

31 Lakini k**a tungejipambanua nafsi zetu, tusingehukumiwa.

32 Ila tuhukumiwapo, twarudiwa na Bwana, isije ikatupasa adhabu pamoja na dunia.

Address

Pasua

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Brownsville international inc Kanisa la Maskani ya Bwana Moshi Kilimanjaro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share