03/09/2020
Ni wajibu wa kila mwananchi kujiunga na bima ya afya ili kumwezesha awe na mahali ambapo atapata huduma ya matibabu bila ya woga, hofu na wasiwasi kulingana na kutokuwa na pesa katika kipindi hicho cha shida ya ugonjwa. chagueni kujiunga katika vifurushi vya NHIF ama CHF ili kuwa katika njia bora ya matibabu.