19/07/2026
Karibu sana Ilowola Secondary!
Mwanao Akiwa hapa atasoma Masomo ya Sekondari lakini pia ananafasi ya Kuchagua Masomo ya ziada ambayo ni Mpira wa Miguu, Muziki, Kilimo na Ufugaji.
Nafasi za Kuhamia zipo.
*************
TUPIGIE SIMU SASA: 0790 850 600
NJOMBE - TANZANIA
Shule ya Sekondari ya Wavulana na Wasichana Ilowola. Njombe - Tanzania