DSDO Tanzania

Call Directions Website

DSDO Tanzania Empowering the Deaf community in Tanzania through digital literacy, quality education, and inclusive social development.

We bridge the gap between silence and opportunity by equipping deaf youth with the tools they need to thrive in a digital world Deaf's Sustenance and Development Organization (DSDO) is a grassroots Non-Governmental Organization (NGO) in Tanzania, registered under the NGOs Act of 2002 (Reg No: 24NGO/00008850). Founded in 2016 and headquartered in Njombe Town, DSDO was established by persons with disabilities to champion the rights, dignity, and socio-economic well-being of the deaf community and other marginalized groups. Our mission is to bridge the gap of inequality by improving livelihoods through enhanced access to resources, essential social services, and active community participation. We believe that deaf individuals possess the same rights and potential as any other member of society and should be empowered to contribute to the sustainable development of their communities. Addressing Systematic Barriers: DSDO works at the forefront of resolving unique challenges faced by our community, including: Communication & Information: Breaking barriers through sign language and accessible ICT. Education & Healthcare: Advocating for inclusive access to essential social services.Economic Empowerment: Tackling high unemployment and poverty through skills development.Social Inclusion: Eradicating discrimination and boosting self-esteem through rights awareness. By transforming challenges into opportunities, DSDO is dedicated to building a society where the deaf community thrives with independence and dignity.

๐ŸŽ™๏ธ UNAJUA KUONGEA KISWAHILI KUNAWEZA KUKUFUNGULIA FURSA ZA AI?Dunia ya teknolojia inahitaji data nyingi za lugha ili kuj...
16/09/2026

๐ŸŽ™๏ธ UNAJUA KUONGEA KISWAHILI KUNAWEZA KUKUFUNGULIA FURSA ZA AI?

Dunia ya teknolojia inahitaji data nyingi za lugha ili kujenga na kuboresha mifumo ya AI inayoweza kuelewa watu wanapozungumza.

Ndiyo maana ujuzi wa kurekodi na kushughulikia data za sauti za Kiswahili unaweza kuwa hatua muhimu kwa mtu anayependa kujifunza na kufanya kazi katika maeneo k**a:

๐Ÿ”น Voice Recording & Voice Data Collection
๐Ÿ”น Data Annotation
๐Ÿ”น Transcription
๐Ÿ”น Localization
๐Ÿ”น Linguistic QA & Review
๐Ÿ”น AI Language Projects

Njia mojawapo ya kuanza kupata uzoefu wa vitendo ni kushiriki katika miradi ya kukusanya data za sauti k**a Mozilla Common Voice โ€“ Swahili Spontaneous Speech.

Unaposhiriki, unapata nafasi ya kufahamu kwa vitendo mambo k**a kurekodi sauti kwa ubora unaohitajika, kufuata maelekezo ya data collection, na kufanya kazi ndani ya mradi wa teknolojia ya lugha.

๐Ÿ‘‰ Hii si ahadi ya ajira, lakini ni njia nzuri ya kuanza kujenga uelewa na uzoefu unaohusiana na sekta hii.

K**a unaongea Kiswahili na ungependa kuanza kujifunza upande huu wa AI, anza na hatua moja ndogo: changia sauti yako.

๐ŸŽค Shiriki hapa:
https://commonvoice.mozilla.org/spontaneous-speech/beta/prompts

Na k**a utakwama kwenye hatua yoyote, usisite kuwasiliana nami. Nitakuelekeza hatua kwa hatua jinsi ya kushiriki.

Sauti yako inaweza kuwa sehemu ya kujenga teknolojia ya Kiswahili ya kesho. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿค๐Ÿค–

HATUA ZA KUANZA1๏ธโƒฃ Fungua ukurasa wa Spontaneous Speech๐Ÿ‘‰ https://commonvoice.mozilla.org/spontaneous-speech/beta/prompts...
30/08/2026

HATUA ZA KUANZA

1๏ธโƒฃ Fungua ukurasa wa Spontaneous Speech

๐Ÿ‘‰ https://commonvoice.mozilla.org/spontaneous-speech/beta/prompts

2๏ธโƒฃ Chagua lugha

Chagua Swahili kwenye sehemu ya lugha.

3๏ธโƒฃ Hakikisha taarifa yako ya lugha iko sahihi

K**a una akaunti ya Common Voice, hakikisha umeweka Swahili โ€“ Tanzania (sw-TZ) k**a variant yako inapopatikana kwenye profile.

4๏ธโƒฃ Anza kurekodi

Mfumo utakupa maelekezo ya kurekodi. Zungumza kwa Kiswahili cha kawaida, kwa sauti yako ya kawaida na kwa mazingira yenye utulivu.

๐Ÿ—ฃ๏ธ Unaweza kueleza jambo, kutoa maoni, kusimulia au kujibu prompt kwa namna ya kawaida ya mazungumzo.

5๏ธโƒฃ Sikiliza na hakikisha rekodi iko vizuri

Kabla ya kutuma, hakikisha sauti inasikika vizuri na haina kelele kubwa au matatizo ya kurekodi.

6๏ธโƒฃ Tuma mchango wako

Kila rekodi nzuri ni mchango katika kujenga data ya sauti ya Kiswahili.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ KWA NINI TUSHIRIKI?

AI inahitaji data halisi ya lugha ili kujifunza jinsi watu wanavyowasiliana.

Tunapochangia sauti zetu, tunasaidia kuongeza uwakilishi wa Kiswahili cha Tanzania kwenye teknolojia za speech na language AI.

Na zaidi ya hapo, hii ni nafasi ya kuanza kujifunza kwa vitendo kuhusu AI language-data projects.

๐ŸŽ™๏ธ Anza kuchangia hapa:

https://commonvoice.mozilla.org/spontaneous-speech/beta/prompts

๐Ÿค Jiunge na Tanzania Swahili Voice & AI Community:

https://www.facebook.com/groups/1017543274436065

๐Ÿ“ข Ukifanikiwa kurekodi, unaweza kutuambia kwenye group ili tusaidiane na wengine wanaoanza.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kiswahili chetu. Sauti zetu. Teknolojia yetu.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ SAUTI YAKO INAWEZA KUSAIDIA KUIJENGA AI INAYOKUELEWA KISWAHILIMozilla Common Voice imefungua Kiswahili cha Tanzania k...
28/08/2026

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ SAUTI YAKO INAWEZA KUSAIDIA KUIJENGA AI INAYOKUELEWA KISWAHILI

Mozilla Common Voice imefungua Kiswahili cha Tanzania kwenye mradi wa Spontaneous Speech.

๐ŸŽ™๏ธ Huu ni mradi wa kukusanya mifano ya namna watu wanavyozungumza Kiswahili kwa kawaida โ€” kueleza mawazo, kuuliza maswali, kusimulia na kuwasiliana katika lugha yetu ya kila siku.

Data hii inaweza kusaidia katika maendeleo ya teknolojia za utambuzi wa sauti na AI zinazoweza kuelewa Kiswahili vizuri zaidi.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Unaweza kushiriki kwa njia mbili:

1๏ธโƒฃ Anza kuchangia sauti yako sasa
๐ŸŽ™๏ธ Mozilla Common Voice โ€“ Swahili Spontaneous Speech

2๏ธโƒฃ Jiunge na Tanzania Swahili Voice & AI Community
๐Ÿค Jiunge na Facebook Group yetu

Huko tutashirikishana maelekezo, taarifa za campaign, fursa na miradi mingine inayohusiana na Kiswahili, sauti na AI.

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kiswahili chetu. Sauti zetu. Teknolojia yetu.

25/08/2026

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ KISWAHILI CHA TANZANIA SASA KINAPATIKANA KWENYE MOZILLA COMMON VOICE!

Kuna hatua muhimu imefanyika kwa ajili ya Kiswahili cha Tanzania.

Kiswahili (sw-TZ) sasa kinapatikana kwenye Mozilla Common Voice Spontaneous Speech, ambapo wazungumzaji wanaweza kuchangia sauti zao za Kiswahili katika mazingira ya mazungumzo ya kawaida.

๐ŸŽ™๏ธ Kwa nini hili ni muhimu?

Teknolojia za kisasa k**a Artificial Intelligence (AI) zinahitaji data za lugha kutoka kwa watu halisi ili ziweze kuelewa jinsi tunavyozungumza.

Na Kiswahili cha Tanzania kinahitaji kusikika kupitia sauti za Watanzania wenyewe.

Tunataka kuwafikia Watanzania kutoka maeneo mbalimbali, wenye lafudhi na mazingira tofauti, ili kuongeza uwakilishi wa Kiswahili cha Tanzania katika teknolojia.

Hii siyo kampeni ya kurekodi sauti tu.

Ni nafasi ya:

๐Ÿ—ฃ๏ธ Kujifunza kuhusu Kiswahili na AI
๐ŸŽ™๏ธ Kushiriki katika data za sauti
๐Ÿค– Kuelewa namna AI inavyojifunza lugha
๐ŸŒ Kusaidia Kiswahili cha Tanzania kuwakilishwa vizuri katika teknolojia
๐Ÿค Kuungana na Watanzania wengine wanaopenda AI na teknolojia ya lugha

Tanzanian Swahili deserves to be heard in AI. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Tunajiandaa kuanzisha Tanzania Swahili Voice & AI Community, ambapo tutashirikishana maarifa, fursa na namna ya kushiriki katika miradi ya AI na teknolojia ya lugha.

Jifunze โ€ข Shiriki โ€ข Ungana โ€ข Jenga

Tanzania Swahili Voice & AI CommunityJe, AI inapoanza kujifunza Kiswahili, inajifunza Kiswahili cha Watanzania wote?Tekn...
14/08/2026

Tanzania Swahili Voice & AI Community

Je, AI inapoanza kujifunza Kiswahili, inajifunza Kiswahili cha Watanzania wote?

Teknolojia za Artificial Intelligence (AI) zinazidi kutumia sauti, lugha na data kutoka kwa watu halisi. Lakini ili AI iweze kuelewa Kiswahili cha Tanzania kwa usahihi, tunahitaji zaidi ya watu wanaoweza kurekodi sauti kupitia mtandao.

Tunahitaji kusikia sauti za Watanzania wa aina mbalimbaliโ€”kutoka maeneo mbalimbali, makundi mbalimbali ya kijamii, na mazingira mbalimbali ya maisha.

๐ŸŽ™๏ธ Voice & Speech Data
๐Ÿค– Artificial Intelligence
๐Ÿ—ฃ๏ธ Kiswahili na teknolojia ya lugha
๐Ÿ“ Transcription & Translation
๐ŸŒ Language Data & AI Projects

Ndiyo maana tunaanza kujenga Tanzania Swahili Voice & AI Community โ€” jamii ya Watanzania wanaopenda kujifunza, kushiriki na kuchangia katika maendeleo ya Kiswahili ndani ya teknolojia za AI.

Community hii itaunganisha watu na maarifa, fursa za kujifunza, miradi ya language data na fursa nyingine zinazohusiana na AI na teknolojia ya lugha.

Kwa sasa tunaanza kwa kuunga mkono ushiriki wa Watanzania katika Mozilla Common Voice, huku tukijenga msingi wa kushiriki katika miradi mingine ya AI na language technology.

Kiswahili cha Tanzania kinastahili kusikika katika teknolojia. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Learn โ€ข Contribute โ€ข Connect โ€ข Build

05/08/2026

HATUA KUBWA KWA KISWAHILI NA TEKNOLOJIA YA SIKIO LA BANDIA (AI)!

Shirika letu la Deaf's Sustainance and Development Organization (DSDO) lenye makao makuu Njombe, limeingia kwenye hatua muhimu ya ushirikiano na Mozilla Common Voice ili kuleta na kuimarisha ukusanyaji wa data za sauti za Kiswahili cha Tanzania (Swahili - sw-TZ).

Lengo letu kuu ni kuhakikisha kuwa mifumo ya Teknolojia ya Sauti (Speech Recognition & AI) inaelewa kwa usahihi wa hali ya juu muktadha wa lugha yetu, ikiwemo namba, tarehe, fedha, na uzungumzaji wa asili wa kila siku (Spontaneous Speech & ITN).

Kupitia hatua hii, DSDO inajipanga kuhamasisha na kushirikisha jamii yetu kote nchini kutoa mchango wa sauti zao ili kutengeneza mifumo ya kiteknolojia inayomjumuisha kila mtu.

Fuatilia kurasa zetu kwa taarifa zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kushiriki punde tu mfumo utakapokuwa hewani!

Habari Njema kwa Sekta ya Elimu Tanzania! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟNimefurahishwa sana na hatua ya  kuingia ushirikiano wa kimkakati na Masterc...
05/03/2026

Habari Njema kwa Sekta ya Elimu Tanzania! ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Nimefurahishwa sana na hatua ya kuingia ushirikiano wa kimkakati na Mastercard Foundation kwa ajili ya kuwanoa walimu wa sekondari vijijini Tanzania. Programu hii itakayofanya kazi kupitia mfumo wa MEWAKA, ni ufunguo wa kuleta mabadiliko ya kudumu darasani.

Sisi k**a Deaf's Sustainance and Development Organization (DSDO) tukiwa hapa Njombe, tunaamini kuwa mabadiliko haya lazima yawe jumuishi (inclusive). Tuna shauku ya kuona jinsi mbinu hizi zitakavyosaidia pia wanafunzi wenye ulemavu wa kusikia ili "No child is left behind."

Hongera sana TeachUNITED kwa hatua hii kubwa!

Soma zaidi kuhusu ushirikiano huu hapa: https://mailchi.mp/teachunited/new-partnership-with-the-mastercard-foundation?e=0c54425b4c"

04/03/2026

TRAVELING FROM EUROPE OR USA TO TANZANIA? HELP US CARRY A LAPTOP!

The Story:
We have a big dream at DSDO Njombe: To open the first Digital Learning Hub for Deaf youth.
The good news? Labdoo has donated 25 Laptops for us!
The challenge? They are currently in Germany, Switzerland, Spain, and the USA.

How you can be a hero:
We are looking for "Travel Volunteers" (Dootrippers) who are coming to Tanzania soon. If you have space in your luggage for just 1 or 2 laptops, you can help change the future of a deaf student.

โœ… It costs you $0.
โœ… It takes 5 minutes to pack.
โœ… It creates a lifetime of impact.

Countries needed: ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ช Germany | ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ USA | ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡ธ Spain | ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ญ Switzerland

Interested? Please DM us or contact:
๐Ÿ“ง Email: [email protected]
๐ŸŸข WhatsApp: https://wa.me/255756058976
๐ŸŒ Website: www.dsdo.or.tz

Watu wenye ulemavu wana haki ya usawa, elimu, ajira, huduma zinazofikika, afya, ujumuishaji wa kijamii, uhuru wa kibinaf...
30/09/2024

Watu wenye ulemavu wana haki ya usawa, elimu, ajira, huduma zinazofikika, afya, ujumuishaji wa kijamii, uhuru wa kibinafsi, ulinzi dhidi ya unyanyasaji, na ushiriki kamili katika maisha ya umma.

People with disabilities have the right to equality, education, employment, accessibility, healthcare, social inclusion, personal autonomy, protection from abuse, and full participation in public life.

30/09/2024

Address

Njoo Uone Street
Njombe
59101

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DSDO Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share