09/06/2026
Je, itakuwaje k**a mteja wako anayefuata anapitia TikTok hivi sasa?
Leo, wamama wadogo walijifunza jinsi ya kutumia TikTok kuonesha bidhaa zao, kujenga chapa ya biashara, na kuunganishwa na wateja hata nje ya maeneo yao. Ujuzi wa kidijitali unafungua fursa mpya kwa wajasiriamali kutangaza biashara zao na kuwafikia wateja wengi zaidi mtandaoni.
YouthEmpowerment SmallBusiness