Public Relations Society of Tanzania - PRST

Public Relations Society of Tanzania - PRST A professional body that oversees the practice of Public Relations, Corporate Communication in Tanzan

Save the date!!!
04/03/2026

Save the date!!!

PRST launches the Capacity Building Programme 2026, featuring expert-led training across Tanzania on communication strat...
23/01/2026

PRST launches the Capacity Building Programme 2026, featuring expert-led training across Tanzania on communication strategy, leadership, digital reputation, and emerging tools for communicators.

Register early to secure your participation.

Email: [email protected]

Call: +255 763 747 198

Ni Tanzania Tena!!!. Tanzania imependekezwa tena kwa mara ya pili mfululizo kuwa mwenyeji wa mkutano wa East Africa Publ...
10/09/2025

Ni Tanzania Tena!!!.

Tanzania imependekezwa tena kwa mara ya pili mfululizo kuwa mwenyeji wa mkutano wa East Africa Public Relations Week (EAPRW). Tanzania inakuwa mwenyeji tena baada ya kuwa mwenyeji mwaka na kuonesha kuwa na mafanikio makubwa.

Licha ya uwepo wa Uchaguzi Mkuu hapo Oktoba, Tanzania bado imeonekana kuwa ni sehemu salama kufanyika kwa mkutano huu. Na hii inaendelea kudhihirisha kuwa Tanzania ni nchi yenye amani na usalama wa kutosha.

Dunia inabadilika kwa kasi. Mambo na mifumo ya utendaji kazi imebadilika. Mambo yanafanyika kwa kasi zaidi. AI imekuwa n...
31/07/2025

Dunia inabadilika kwa kasi. Mambo na mifumo ya utendaji kazi imebadilika. Mambo yanafanyika kwa kasi zaidi. AI imekuwa ni sababu kuu ya utendaji kazi kwetu. Kwasababu hiyo, hatuna budi kwenda kasi ili kuleta ufanisi huo. Sisi k**a wana PR na Mawasiliano, hatuwezi kutengana na matumizi ya AI kwenye majukumu yetu ya msingi. Tujifunze zaidi ili tuwe wenye kuhitajika zaidi. Karibu Arusha kwenye mafunzo ya AI Mastery Class.

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Public Relations Society of Tanzania - PRST posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Public Relations Society of Tanzania - PRST:

Share