02/02/2025
TAARIFA:
K**a Una Mgonjwa Wa Kuhitaji Operation Ambae Alishndwa Kugharamia Matibabu Yake, Tafadhali Tuma Taarifa Zake Kwa Taasisi ya Memorial Health Foundation # Yenye Makao Makuu Yake Mwanza..Tutagharamia Matibabu Yake Yote Ndani ya Nchi Kupitia Mfuko wa Wafadhili.
Tuma Taarifa Zake na Picha Kupitia:
Whatsapp: 0654 283487 (Dr Jafary Ndege)
Piga: 0788 473340 (Rad. Muzdalifa Hamad).