Pikipiki Pro

Pikipiki Pro Unapenda Bike kubwa? Relax Hapa uta enjoy Kuona Bike Mbalimbali zenye cc 250 na kuendelea. Whatsapp +1 (323) 417-0117

30/08/2026

Zipo Aina Mbili
1. Fupi Tsh 95,000
2. Ndefu Tsh 120,000
Tupigie : 0655040401

30/08/2026

Accessories zote utazipata Keiboo Megastore Piga 0655040401

30/08/2026

πŸ”₯ BADILISHA VIDEO ZA RIDE ZAKO ZIONEKANE K**A ZIMEPIGWA NA DRONE! 🏍️πŸŽ₯

Kwa riders, motovloggers na content creators β€” hii Motorcycle Camera Holder Full Kit imeundwa kukupa angle za kipekee ukiwa barabarani.

Ina mfumo wa clamps 3 unaoshikilia frame/crash bars za pikipiki kwa uimara, pamoja na telescopic extension pole inayokuwezesha kuweka Insta360 au Action Camera mbali na pikipiki na kupata footage ya kuvutia ya third-person view / invisible selfie-stick effect.

βœ… Inafungwa kwenye crash bars/frame ya pikipiki
βœ… Multi-point support kwa stability zaidi
βœ… Telescopic pole – ongeza au punguza urefu
βœ… Angle inaweza kubadilishwa kulingana na shot unayotaka
βœ… Perfect kwa Insta360 & Action Cameras
βœ… Rekodi mbele, nyuma au pembeni ya pikipiki
βœ… Bora kwa MotoVlogging, Touring & Adventure Riding
βœ… Easy to install, adjust na kuondoa
βœ… Inakupa professional cinematic riding footage

πŸŽ₯ Ride kawaida β€” lakini video yako ionekane EXTRAORDINARY.

Perfect kwa:
🏍️ Adventure Riders
🏍️ Touring Riders
🏁 Motorcycle Clubs
πŸŽ₯ Motovloggers
πŸ“± TikTok / Instagram / YouTube Creators

πŸ’° BEI: TSh 295,000

πŸ“© DM / WhatsApp kuagiza yako kabla stock haijaisha.

Motovlogger MotorcycleAccessories BikersTanzania MotorcycleTanzania AdventureBike AdventureRider BMWGS AfricaTwin Tenere700 MotorcycleTouring ActionCamera 360Camera BikerLife RideAndCapture MotoContentCreator

30/08/2026

πŸ”₯ BADILISHA VIDEO ZA RIDE ZAKO ZIONEKANE K**A ZIMEPIGWA NA DRONE! 🏍️πŸŽ₯

Kwa riders, motovloggers na content creators β€” hii LanParte Motorcycle Camera Holder Full Kit imeundwa kukupa angle za kipekee ukiwa barabarani.

Ina mfumo wa clamps 3 unaoshikilia frame/crash bars za pikipiki kwa uimara, pamoja na telescopic extension pole inayokuwezesha kuweka Insta360 au Action Camera mbali na pikipiki na kupata footage ya kuvutia ya third-person view / invisible selfie-stick effect.

βœ… Inafungwa kwenye crash bars/frame ya pikipiki
βœ… Multi-point support kwa stability zaidi
βœ… Telescopic pole – ongeza au punguza urefu
βœ… Angle inaweza kubadilishwa kulingana na shot unayotaka
βœ… Perfect kwa Insta360 & Action Cameras
βœ… Rekodi mbele, nyuma au pembeni ya pikipiki
βœ… Bora kwa MotoVlogging, Touring & Adventure Riding
βœ… Easy to install, adjust na kuondoa
βœ… Inakupa professional cinematic riding footage

πŸŽ₯ Ride kawaida β€” lakini video yako ionekane EXTRAORDINARY.

Perfect kwa:
🏍️ Adventure Riders
🏍️ Touring Riders
🏁 Motorcycle Clubs
πŸŽ₯ Motovloggers
πŸ“± TikTok / Instagram / YouTube Creators

πŸ’° BEI: TSh 295,000

πŸ“© DM / WhatsApp kuagiza yako kabla stock haijaisha.

Motovlogger MotorcycleAccessories BikersTanzania MotorcycleTanzania AdventureBike AdventureRider BMWGS AfricaTwin Tenere700 MotorcycleTouring ActionCamera 360Camera BikerLife RideAndCapture MotoContentCreator

30/08/2026

πŸοΈπŸ“Έ REKODI SAFARI YAKO KWA ANGLE SAFI ZAIDI!

Unapenda kurekodi rides zako ukiwa na GoPro, Insta360 au Action Camera? Hii Motorcycle Windshield Camera Mount inakupa sehemu imara na practical ya kufunga camera kwenye windshield ya pikipiki yako.

βœ… Inafungwa moja kwa moja kwenye windshield
βœ… Adjustable clamping width – inafaa kwenye windshield zenye unene tofauti
βœ… Inakaza vizuri na kusaidia camera kukaa salama
βœ… Angle inaweza kubadilishwa kupata shot unayotaka
βœ… Ina 1/4” screw mount kwa cameras zinazotumia standard hiyo
βœ… Inafaa kwa 360Β° Cameras na Action Cameras
βœ… Perfect kwa Motovlogging, Touring, Adventure & Road Trips
βœ… Rekodi mbele, nyuma au angle pana kulingana na setup yako

πŸ”₯ Badala ya kushikilia camera kwa mkono, mount camera vizuri na capture safari yote ukiwa unaendesha.

Perfect kwa:
🏍️ Adventure Riders
🏍️ Touring Riders
πŸŽ₯ Motovloggers
πŸ“Έ Content Creators
🌍 Safari & Road Trip Lovers

Zipo aina mbili TSH : 85,000 na 95,000

πŸ“© PIGA SIMU/SMS : 0655040401

MotoVlog Motovlogger MotorcycleAccessories BikerLife BikersTanzania MotorcycleTanzania AdventureBike AdventureRider AfricaTwin BMWGS YamahaTenere MotorcycleTouring RideAndCapture MotorcycleGear BikeAccessories Insta360Motorcycl

30/08/2026

πŸ”₯ UNIVERSAL ACTION CAMERA MOUNT – IMESHAFIKA! πŸοΈπŸ“Έ

Unataka kurekodi safari zako kwa angle nzuri, stable na salama zaidi? Hii Action Camera Mount ni nzuri kwa riders, MotoVloggers na watumiaji wa action cameras.

βœ… 360Β° Adjustable Double Ball Head
βœ… Strong Crab Clamp – inashika hadi 60mm
βœ… Aluminium Alloy Body – imara na durable
βœ… Non-slip Rubber Pads
βœ… Inafaa kwenye handlebar, crash bar, bicycle na sehemu mbalimbali
βœ… Compatible na GoPro, Insta360, DJI Action Camera na cameras nyingine
βœ… Easy to install & remove
βœ… Perfect kwa MotoVlogging, Adventure Riding & Touring

πŸ“¦ Models Available:
πŸ”Ή UBA-C1
πŸ”Ή UBA-R1

πŸ’° BEI: TSh 65,000/= na 85,000

πŸŽ₯ RECORD EVERY RIDE. EVERY ANGLE. EVERY ADVENTURE.

πŸ“© DM / WhatsApp kuagiza sasa.

SuperbikeTanzania AdventureRiders MotorcycleCommunity MotorcycleLife BikerLife MotoLife RideTanzania MotoVlog MotoVlogger Motovlogging GoProMotorcycle GoPro Insta360 DJIAction ActionCamera MotorcycleAccessories BikeAccessories MotorcycleGear

πŸ”₯ HONDA NC700 – 2016 πŸ”₯Unatafuta pikipiki ya safari ndefu, matumizi ya kila siku na yenye comfort nzuri barabarani? Honda...
30/08/2026

πŸ”₯ HONDA NC700 – 2016 πŸ”₯

Unatafuta pikipiki ya safari ndefu, matumizi ya kila siku na yenye comfort nzuri barabarani? Honda NC700 ni chaguo zuri sana. πŸοΈπŸ’¨

βœ… Model Year: 2016
βœ… Original body
βœ… Original lights
βœ… Original factory paint
βœ… Muonekano safi sana, karibu k**a mpya
βœ… Engine na condition nzuri
βœ… Rahisi na comfortable kuendesha
βœ… Inafaa sana kwa safari ndefu
βœ… Honda reliability & fuel efficiency

Honda NC700 inakupa mchanganyiko mzuri wa comfort, durability, fuel economy na performance kwa bei nzuri.

πŸ“© DM / Inbox kwa maelezo zaidi na kuagiza.

BikeTanzania AdventureBike TouringBike BikersTanzania

πŸ”₯ YAMAHA MT-09 GT – 2018 | RALLY EDITION πŸ”₯Hii mashine ni kali sana β€” inafaa kwa misele ya mjini, weekend rides na pia sa...
30/08/2026

πŸ”₯ YAMAHA MT-09 GT – 2018 | RALLY EDITION πŸ”₯

Hii mashine ni kali sana β€” inafaa kwa misele ya mjini, weekend rides na pia safari ndefu za masafa. πŸοΈπŸ’¨

βœ… Model Year: 2018
βœ… Rare GT / Rally Version
βœ… ABS
βœ… Traction Control – TC
βœ… Anti-Slip System
βœ… 3 Power Modes
βœ… Original body
βœ… Original lights
βœ… Original factory paint
βœ… Original factory exhaust
βœ… Condition safi sana, details karibu k**a mpya
βœ… Comfortable sana kwa long-distance riding
βœ… Engine kubwa ya karibu 900cc yenye nguvu nzuri sana

Hii ni bike inayokupa mchanganyiko wa speed, power, comfort na touring capability. Unaweza kuitumia mjini bila shida, lakini ukitaka kuingia safari ndefu ndipo utaiona thamani yake zaidi.

BikeTanzania TouringBike AdventureBike BikersTanzania YamahaTanzania

28/08/2026

Dar Moshi: Nilikuwa natumia Dakika 5 kumaliza Kilomita 10. Je unadhani ni Average speed nzuri kwa Njia ya Dar to Moshi?.
Follow Revon Megastore

28/08/2026

Makoti mazito kwa ajili ya Bike za Masafa zipo dukani kwetu.
Dukani Yapo ya Tsh 415,000 na 250,000

▢️ PIGA SIMU/SMS : 0655040401

Address

Mwanza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Pikipiki Pro posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share