Inuka Angaza Helping Hand

Inuka Angaza Helping Hand inuka Angaza is an organization which aims at helping children, Youth and women Live their God Given purpose.

Happy mei mosi wafanyakazi wote. Juhudi zenu zinaonekana na kutambulika.
01/05/2025

Happy mei mosi wafanyakazi wote. Juhudi zenu zinaonekana na kutambulika.

Campaign ya Wheelchair ni Moja ya program zinazofanywa na Inuka Angaza katika kuboresha maisha ya mtoto mwenye ulemavu. ...
26/04/2025

Campaign ya Wheelchair ni Moja ya program zinazofanywa na Inuka Angaza katika kuboresha maisha ya mtoto mwenye ulemavu.
Campaign hizi zinafanyika kila mwaka ambapo kila mwaka Kuna watoto Wanapata wheelchair kwa ajili ya kuwasaidia kutoka sehemu Moja kwenda nyingine na kufika shule.
Wheelchair 36 zilitolewa siku ya sherehe za PASAKA kwa watoto hao.
Tunashukuru Ndg. Leonard Mahenda Qwihaya MANGUZO kwa kusupport wheelchair 30 kwa ajili ya watoto Hawa Bado tuna uhitaji wa wheel chair 64 kwa watoto wengine waliobaki ili kufikisha wheelchair 100 k**a campaign yetu inavyosema kila mwaka.
Mungu akubariki wewe ambaye umekuwa ukichangia na kujitoa kwa ajili ya watoto Hawa.
Kwa pamoja tuwasaidie watoto wenye ulemavu kuinuka na kuangaza.

Mkurugenzi wa Inuka Angaza akiongea na wageni mbalimbali waliohudhuria Easter Charity 2025.
22/04/2025

Mkurugenzi wa Inuka Angaza akiongea na wageni mbalimbali waliohudhuria Easter Charity 2025.



Tunashukuru Clouds Media Team ikiongozwa na Lilian Masuka Mwenyekiti wa Malkia wa Nguvu kwa kufika na kushiriki na watot...
22/04/2025

Tunashukuru Clouds Media Team ikiongozwa na Lilian Masuka Mwenyekiti wa Malkia wa Nguvu kwa kufika na kushiriki na watoto wetu na kuweka tabasamu kwenye NYUSO zao.
Hakikika watoto wamefurahi sana.


Mkurugenzi wa Taasis  ya Inuka Angaza Madam Eva Samara ambaye pia ni Mchungaji wa makanisa ya Inuka Angaza  akiongea kwe...
22/04/2025

Mkurugenzi wa Taasis ya Inuka Angaza Madam Eva Samara ambaye pia ni Mchungaji wa makanisa ya Inuka Angaza akiongea kwenye Hafla ya Pasaka iliyofanyika kituo Cha kulelea watoto Cha Watoto wa Africa Orphanage amesema Moja ya program za Inuka Angaza ni Community Celebration with the NEEDY.

Ndani ya program hii ni project ya EASTER CHARITY ambayo inakutanisha watoto mbalimbali wenye changamoto na mahitaji maalum wakiwemo watoto wa vituoni(makao ya watoto) na watoto wenye ulemavu kwa ajili ya Kusheherekea PASAKA. Katika Hafla hiyo watoto wanakula na kucheza na kupokea zawadi mbalimbali kutoka kwa wageni waalikwa.

Katika Hafla hii Mkurugenzi wa Inuka Angaza Madam Eva Samara alimshukuru mgeni Rasmi Ndugu Leonard Mahenda Qwihaya ( MANGUZO) MNEC na Mkurugenzi wa Makampuni ya Qwihaya General Enterprises kwa kujumuika na watoto na kuweka tabasamu kwa watoto Hawa.
Aliwashukuru watanzania wote waliojitoa na kufanikisha tukio hili.


➡️we welcome you to join Us in Empowering children with disabilities. ➡️Tunawakaribisha wadau kujumuika nasi katika kugu...
29/01/2025

➡️we welcome you to join Us in Empowering children with disabilities.
➡️Tunawakaribisha wadau kujumuika nasi katika kugusa masiha ya mtoto mlemavu.

+255 764911611

Empower children with disabilities and their familiesInuka Angaza Helping  Hand Americans with Disabilities - the Larges...
28/01/2025

Empower children with disabilities and their families
Inuka Angaza Helping Hand Americans with Disabilities - the Largest Minority

Taasis ya Inuka Angaza Imejikita katika kuwawezesha watoto WANAOTOKA kwenye mazingira magumu, watoto wenye changamoto mb...
28/01/2025

Taasis ya Inuka Angaza Imejikita katika kuwawezesha watoto WANAOTOKA kwenye mazingira magumu, watoto wenye changamoto mbalimbali wakiwemo watoto wenye ulemavu. Tunashirikiana na wadau mbalimbali katika kufikia malengo yetu ya kuwagusa watoto hawa.
Mwaka 2025 tumeweka mikakati mizuri ya namna ya kufanya kazi na kuwafikia watoto hawa.
Tuna program endelevu ambazo zinalenga kuwawezesha watoto hasa wenye ulemavu.
Tuna program ya wheelchair campaign ambayo tutaifanya Kila Mwaka kuhakikisha watoto wanapata Wheelchair Ili Kuwasaidia kufika sehemu mbalimbali Ikiwemo mashuleni.
Program hii inalenga kumsaidia mtoto mlemavu na yeye kujumuika na kushirikiana na watu wengine katika mambo yanayomuhusu.
Pia kumuwezesha kupata haki ya Elimu Kwa kurahisha mazingira ya mahudhurio ya shule.


American Association of People with Disabilities
International Disability Alliance

Address

Busenga Buswelu
Mwanza

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Inuka Angaza Helping Hand posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share