13/01/2025
We are overjoyed to share that Five incredible young people we work with have been accepted into a football academy .sports.academy 🏟️⚽
This life-changing opportunity means they’ll no longer sleep on the streets—they’re returning to school, and a brighter chapter begins. 📚🏡
Football has made this possible, but it wouldn’t have happened without YOU. 💛 To our incredible supporters, thank you for believing in their potential and being part of this journey.
Together, we’re turning dreams into reality, one step at a time. 💪
Tunayo furaha kubwa kuwashirikisha kuwa vijana watano tunaofanya nao kazi wamekubaliwa katika kituo cha kukuza na kulea vipaji .sports.academy 🏟️⚽
Fursa hii ya kubadilisha maisha inamaanisha kuwa hawatalala tena mitaani, wanarudi shuleni, na ukurasa mpya unafunguka. 📚🏡
Mpira wa miguu umefanya hili kuwezekana, lakini zaidi kwa kila anaewashika mkono.
Kwa pamoja, tunageuza ndoto kuwa uhalisia, hatua moja baada ya nyingine.