AB Creative Media & Design Centre

AB Creative Media & Design Centre AB Creative Media & Design Centre ni Taasisi inayojishughulisha na utoaji wa mafunzo ya Teknolojia y

AB Creative Media & Design Centre ni Taasisi inayojishughulisha na utoaji wa mafunzo ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (ICT), Sanaa na Utamaduni. Taasisi imesajiliwa kisheria kupitia Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) kwa usajili Na. BST/00426 na inatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa sheria za nchi ya Tanzania. AB Creative Media & Design Centre inatoa mafunzo ya Kompyuta, Utengenezaji wa mat

angazo ya graphics, utengenezaji wa picha za mnato na video (Photography and Vedeo Production), Utengenezaji wa mifumo ya utunzaji wa kumbukumbu za ofisi (Data bases), mafunzo ya Muziki kwa Wasanii n.k. Taasisi inafanyakazi zake kwa kushirikiana na wadau mbalimbali wa ndani na nje ya Tanzania, ambapo kwa sasa inafanyakazi na Shirika la KAIMA TANZANIA, Health and Economic Development Initiative Tanzania (HEDIT) na Wadau kutoka nchi za Marekani, Canada, Israel, Kenya na Rwanda. AB Creative Media & Design Centre, ni Taasisi iliyojipanga kutoa huduma bora zitakazoleta mabadiliko katika tasinia ya Teknolojia, Sanaa na Utamaduni hapa nchini.

Address

Mwanza

Opening Hours

Monday 08:00 - 18:00

Telephone

+255744822796

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when AB Creative Media & Design Centre posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to AB Creative Media & Design Centre:

Share