Numet Tanzania

Numet Tanzania Chama Cha wafanyakazi wa Tasnia ya Nishati na Madini Tanzania (National Union of Mine and Energy workers of Tanzania) - NUMET. Namba ya Usajili ni 029.

Chama kilianzishwa tarehe 01.10.2011, na kusajiliwa tarehe 20.02.2013. Tuna wanachama 3500 nchini.

Group photos members with Guest of Honor , May Day 2026
09/05/2026

Group photos members with Guest of Honor , May Day 2026

09/05/2026
May Day 2026, Sengerema
09/05/2026

May Day 2026, Sengerema

09/05/2026
We are Hiring
23/04/2026

We are Hiring

General Manager, Mwenyekiti na Katibu wa tawi la NUMET North Mara Gold Mine Ltd, wakifurahia jambo baada ya kusaini CBA ...
23/03/2026

General Manager, Mwenyekiti na Katibu wa tawi la NUMET North Mara Gold Mine Ltd, wakifurahia jambo baada ya kusaini CBA mpya mwaka 2026. Masilahi bora ya wafanyakazi ndo kipaumbele namba moja cha NUMET.

North Mara Gold Mine and NUMET did it again this year . CBA Review 2026.
23/03/2026

North Mara Gold Mine and NUMET did it again this year . CBA Review 2026.

Mwongozo wa maadhimisho ya Mei Mosi 2026.  NUMET tutafanya Maadhimisho kitaifa katika maeoneo mawili. 1. Kwa kushirikian...
28/02/2026

Mwongozo wa maadhimisho ya Mei Mosi 2026. NUMET tutafanya Maadhimisho kitaifa katika maeoneo mawili. 1. Kwa kushirikiana na serikali, tutafanya maadhimisho yetu Mkoani Njombe. Na , 2. kwa lengo la kuhakikisha wafanyakazi wengi wanashiriki, tutakuwa na maadhimisho ya Kitaifa mjini Sengerema.

Kwa maelezo zaidi, soma mwongozo.

Address

P. O. Box 11956, Capripoint Mwanza
Mwanza

Opening Hours

Monday 09:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Telephone

+255763415557

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Numet Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Numet Tanzania:

Shortcuts

Share