Family Msingi wa Imani

Family Msingi wa Imani Maombi, Maombezi na Masuala ya Kiroho.

18/12/2025
17/08/2025
16/08/2025

HELENA NYERERE MJUKUU WA MAMA MARIA NYERERE AKITOA UJUMBE WA MAMA MARIA NYERERE MBELE YA MAUJAJI KANISANI BAADA YA MAMA MARIA NYERERE KUSHINDWA KUHUDHURIA HIJA HII YA MWAKA 2025 NCHINI UGANDA,PAMOJA NA UTAMBULISHO WA VIONGOZI MBALI MBALI,Tusikilize salamu za Mama maria Nyerere. Toka kwa Mjukuu.

16/08/2025

Misa ya watanzania ya kumwombea hayati mwl.Julius kambarage Nyerere aweze kutangazwa Mtakatifu wa Mungu iliudhuriwa pia na waziri Mkuu wa Uganda kwa niaba ya Rais Kaguta Mseven.01/06/2025

16/08/2025

Maujaji wa Tanzania wakila chakula kilichoandaliwa na Rais wa Uganda kwa ajili yao,Mungu amubariki kwa ukarimu wake 01/06/2025

16/08/2025

Miujiza mingi utokea katika kaburi la mt.carol Lwanga,na hapa baada ya athimisho la misa waomini wengi utamani kabisa kugusa kaburi la mtakatifu Carol Lwanga wakiwa na nia zao,hapa ndicho kinachotoke,inabidi waondolewe maana baada ya misa ya watanzania kwisha kuna misa nyingine inafuata.01/06/2025.

16/08/2025

Watanzania toka jimbo kuu la mwanza (Mhandu) wakifurahi baada ya kushuhudia muujiza Angani wakati wa kuelekea kilele cha hija ,NAMGONGO UGANDA 02/06/2025

01/08/2025

ONGERA MAHUJAJI TOKA TANZANIA.

Address

Nyamagana
Mwanza
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Family Msingi wa Imani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Family Msingi wa Imani:

Share