17/05/2026
Kila mtoto anastahili mazingira salama kwa ajili ya kutimiza ndoto zake. Ungana na katika kampeini ya MTI WA NDOTO kuhakikisha shule zinakuwa na miti ya kwa ajili ya Matunda, hewa safi, vivuli pamoja na kuzuia mmomonyoko wa udongo.
Mwanza Children Action Network.
MsichanaTai
Railway Children Africa
Tanzania Education Network/ Mtandao Wa Elimu Tanzania
MenEngage Tanzania
Mwanza Youth and Children Network - MYCN