20/03/2026
📢 TAARIFA MUHIMU KWA WAFUATILIAJI WETU WOTE
Tunapenda kuwataarifu rasmi kuwa kurasa (pages) zetu zote zilizokuwa zinatumia jina la Shiloh TV Online, Hii ni pamoja na channel yetu ya YouTube. kuanzia sasa zitatumia jina jipya la:
🎥 TAJI TV TANZANIA
Mabadiliko haya yamefanyika kwa sababu za usajili wa kiserikali, ambapo jina rasmi lililosajiliwa ni TAJI TV TANZANIA.
Tunaomba radhi kwa usumbufu wowote utakaojitokeza katika kipindi hiki cha mpito, na tunawashukuru sana kwa kuendelea kuwa nasi na kutuunga mkono. 🙏
JACOB OPULL ZACHARIA
C.E.O TAJI TV TANZANIA
Kwa mawasiliano zaidi:
📞 +255621213275
📞 +255787863533
📞 +255743616241
Asanteni kwa uelewa wenu na ushirikiano wenu.
TAJI TV TANZANIA – Tupo kwa ajili yako! 🇹🇿