11/10/2022
Baylor Tanzania inaungana na dunia nzima kusheherekea siku ya mtoto wa k**e duniani. Tunaweka ahadi ya kutoa huduma inayotoa haki kwa wasichana na kufanya maisha yao ya baadaye kuwa angavu. Sasa ni wakati wao, wacha wachanue.