Wadadasolutionstz

Wadadasolutionstz Open the link bellow to read more about Wadada Solutions on Gender Based Violence: www.wadada.or.tz
https://youtu.be/G-rW0yQ5M5M?si=DZjm-qAwsYz0yzyB

Is a registered vibrant youth-led NGO aiming to empower young people to advocate for their own rights to live free from all forms of violence and exploitation

We Must Act! ๐Ÿšซ GBV has no place in our society. Together we can: โœ… Raise awareness.โœ… Advocate for stronger laws and poli...
19/11/2024

We Must Act!
๐Ÿšซ GBV has no place in our society. Together we can:
โœ… Raise awareness.
โœ… Advocate for stronger laws and policies.
โœ… Support survivors with compassion and resources.
______________________________________________
Lazima Tuchukue Hatua!
๐Ÿšซ Ukatili wa kijinsia hauna nafasi katika jamii yetu. Pamoja tunaweza:
โœ… Kuongeza uelewa
โœ… Kutetea Sheria na sera
โœ… Kusaidia waathirika kwa hali na mali








Together, we can create a world free from violence against women and girls. Join us in the global movement to   and show...
13/11/2024

Together, we can create a world free from violence against women and girls. Join us in the global movement to and show your support for investing in prevention, Let's build safer communities for everyone!









01/11/2024

Grateful for a Remarkable October!๐Ÿ‘

01/11/2024
10/10/2024

Tukiwa tunaelekea kilele cha wiki ya vijana na siku ya mtoto wa k**e Afrika maandalizi yamekamilika! Tembelea Banda letu la ili uweze kupata elimu mbali mbali.

**e















03/10/2024

Ukiwa kijana ni muhimu kujua jinsi ya Kupata huduma rafiki za afya za afya ya uzazi! ๐Ÿฉบ Tazama kipande hiki na usikose kutazama video nzima kwenye YouTube channel yetu kwa maelezo zaidi. Bonyeza linki kwenye bio ili uweze kutazama na usisahau kusubscribe kwa update zaidi! ๐ŸŽฅ๐Ÿ’ก.

Hakizetu Tanzania Organization Global Peace Foundation Tanzania Mwanza Youth and Children Network - MYCN

Kataa ukatili, kuwa shujaa! ๐ŸŒŸ Kila mtoto ana haki ya kukua katika mazingira salama na yenye upendo. Tuungane pamoja kuko...
26/09/2024

Kataa ukatili, kuwa shujaa! ๐ŸŒŸ Kila mtoto ana haki ya kukua katika mazingira salama na yenye upendo. Tuungane pamoja kukomesha ndoa za utotoni na kuhakikisha watoti wetu wanapata fursa ya elimu na maisha bora. ukatili
















Jamii Salama inajengwa na Familia Salama. Tunayo Furaha kukutana na Wazazi pamoja na Vijana wa Kata ya Nyamhongolo iliyo...
24/09/2024

Jamii Salama inajengwa na Familia Salama. Tunayo Furaha kukutana na Wazazi pamoja na Vijana wa Kata ya Nyamhongolo iliyopo Halmashauri ya Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza na kufanya mdahalo juu ya maswala ya Afya ya Uzazi pamoja na Malezi. Shughuli hii ni mwendelezo wa utoaji Elimu ya Afya ya Uzazi kwa Vijana na Wanawake ili kutengeneza Jamii yenye Afya Salama. ke


Global Peace Foundation Tanzania















"๐˜›๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ป๐˜ฆ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜บ๐˜ฆ๐˜ต๐˜ถ, ๐˜ญ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ฑ๐˜ข๐˜ด๐˜ธ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข๐˜ป๐˜ฐ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฆ ๐˜ถ๐˜ฆ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ข๐˜ง๐˜บ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ป๐˜ข๐˜ป๐˜ช, ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ซ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ป๐˜ช๐˜ต๐˜ข๐˜ป๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜บ๐˜ข...
19/09/2024

"๐˜›๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข๐˜ฅ๐˜ถ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ป๐˜ฆ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ฏ๐˜ข ๐˜บ๐˜ฆ๐˜ต๐˜ถ, ๐˜ญ๐˜ข๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ฉ๐˜ข๐˜ป๐˜ช๐˜ฑ๐˜ข๐˜ด๐˜ธ๐˜ช ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ฌ๐˜ช๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ข๐˜ป๐˜ฐ ๐˜ฌ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ฏ๐˜บ๐˜ฆ ๐˜ถ๐˜ฆ๐˜ญ๐˜ฆ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ธ๐˜ข ๐˜ข๐˜ง๐˜บ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ป๐˜ข๐˜ป๐˜ช, ๐˜ฏ๐˜ช ๐˜ธ๐˜ข๐˜ซ๐˜ช๐˜ฃ๐˜ถ ๐˜ธ๐˜ฆ๐˜ต๐˜ถ ๐˜ฌ๐˜ถ๐˜ป๐˜ช๐˜ต๐˜ข๐˜ป๐˜ข๐˜ฎ๐˜ข ๐˜ถ๐˜ฑ๐˜บ๐˜ข" - ๐™ˆ๐™ฌ๐™ž๐™ฃ๐™Ÿ๐™ž๐™ก๐™ž๐™จ๐™ฉ๐™ž ๐™•๐™–๐™ ๐™–๐™ฎ๐™ค ๐™…๐™ค๐™จ๐™š๐™ฅ๐™ ๐™Ž๐™๐™ช๐™ ๐™–
ke

















Vijana, wazazi viongozi wa serikali ngazi ya Kata wamekutana pamoja kupatiwa mafundisho ya siku mbili.Mafunzo haya yamet...
17/09/2024

Vijana, wazazi viongozi wa serikali ngazi ya Kata wamekutana pamoja kupatiwa mafundisho ya siku mbili.

Mafunzo haya yametolewa na shirika la lengo likiwa ni kuiamasisha na kuikumbusha jamii kuhusu upatikanaji wa huduma na taarifa sahihi za afya ya uzazi, ukatili dhidi ya wasichana na wanawake na malezi bora.
ke

















16/09/2024

Heri ya Siku ya Maulid ๐Ÿ•Œ
16/09/2024

Heri ya Siku ya Maulid ๐Ÿ•Œ

Address

Mwamza
P.OBOX10042

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 16:00

Telephone

+255685901026

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Wadadasolutionstz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Wadadasolutionstz:

Shortcuts

Share