Mkangaula ndio Home

Mkangaula ndio Home "Karibu Mkangaula! πŸ‘πŸ’š Tunajenga maendeleo kwa mshik**ano! πŸ›–πŸŒΏ | Habari, matukio, na fursa za wanakijiji | Jiunge nasi kuboresha kijiji chetu! πŸ“Mkangaula, TZ

Hawapoi na hawaleti kero! 🀣🀣🀣 πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
11/07/2025

Hawapoi na hawaleti kero! 🀣🀣🀣

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

The Dream Team! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯  ya Mkangaula ndio Home Group
11/07/2025

The Dream Team! πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

ya Mkangaula ndio Home Group

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯Unyama ni mwingi sana!
10/07/2025

πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

Unyama ni mwingi sana!

Huna Baya Mr Nyalila.. T-shirt imekaa panapostahili.  sana kwa uungwaji mkono tulioupata toka kwako.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™
10/07/2025

Huna Baya Mr Nyalila.. T-shirt imekaa panapostahili.
sana kwa uungwaji mkono tulioupata toka kwako.πŸ™πŸ™πŸ™πŸ™

T-shirt kali kutoka Mkangaula ndio Home πŸ”₯πŸ”₯  sana Mjumbe
10/07/2025

T-shirt kali kutoka Mkangaula ndio Home πŸ”₯πŸ”₯

sana Mjumbe

πŸŽ‰ PONGEZI KWA MKWAYA H. MKWAYA πŸŽ‰Tunapenda kutoa pongezi za dhati kwa ndugu yetu Mkwaya H. Mkwaya kwa kuchaguliwa kuwa Mt...
31/03/2025

πŸŽ‰ PONGEZI KWA MKWAYA H. MKWAYA πŸŽ‰

Tunapenda kutoa pongezi za dhati kwa ndugu yetu Mkwaya H. Mkwaya kwa kuchaguliwa kuwa Mtunza Hazina wa Mkangaula Ndiyo Home. πŸ™ŒπŸΎ

Uongozi, wanachama, na viongozi wote tunamtakia kila la heri katika majukumu yake mapya. Tunayo imani kuwa ataendesha kazi hii kwa uadilifu na bidii.

πŸŽŠπŸŽ–οΈ

πŸ“ Follow kwa taarifa zaidi!

Uongozi wa Mkangaula Ndiyo Home unawatakia Waislamu wote Eid Al-Fitr njema yenye furaha, amani, na baraka tele. Mwenyezi...
31/03/2025

Uongozi wa Mkangaula Ndiyo Home unawatakia Waislamu wote Eid Al-Fitr njema yenye furaha, amani, na baraka tele. Mwenyezi Mungu akubali ibada zenu na awajalie afya na mafanikio.

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, siku muhimu ya kutambua mchango wa wanawake katika jamii, uchumi, siasa, na kila sekta ...
08/03/2025

Leo ni Siku ya Wanawake Duniani, siku muhimu ya kutambua mchango wa wanawake katika jamii, uchumi, siasa, na kila sekta ya maisha.

"Mwanamke ni nguvu, ni faraja, ni mwanga wa kesho. Tuendelee kuwaunga mkono na kuwapa nafasi ya kung'ara."

Kwa wanawake wote, endeleeni kuwa jasiri, wenye maono, na wasioyumbishwa na changamoto. Dunia inawahitaji, na mchango wenu ni wa thamani isiyo na kipimo.

Heri ya Siku ya Wanawake Duniani!

NUKUU YA LEO:Mji usioheshimu Wazee wake, hauwezi kuhifadhi hekima yake, Mji bila Wazee ni k**a nyumba isiyo na msingi – ...
07/03/2025

NUKUU YA LEO:
Mji usioheshimu Wazee wake, hauwezi kuhifadhi hekima yake, Mji bila Wazee ni k**a nyumba isiyo na msingi – hauna hekima wala mwongozo.

Uongozi wa Mkangaula Ndiyo Home unawatakia Wakristo wote Kwaresma Njema, yenye amani, toba ya kweli, na baraka zisizo na...
06/03/2025

Uongozi wa Mkangaula Ndiyo Home unawatakia Wakristo wote Kwaresma Njema, yenye amani, toba ya kweli, na baraka zisizo na kikomo. Mungu apokee sala zenu na kuwaongoza katika safari hii ya kiroho.

πŸŒ™ Uongozi wa Mkangaula Ndiyo Home unawatakia Waislamu wote Ramadan Kareem.Mwezi wa baraka, rehema na msamaha. Mwenyezi M...
06/03/2025

πŸŒ™ Uongozi wa Mkangaula Ndiyo Home unawatakia Waislamu wote Ramadan Kareem.

Mwezi wa baraka, rehema na msamaha. Mwenyezi Mungu aipokee saumu yenu, azijibu dua zenu, na awajaze amani, upendo na baraka tele.

Address

Mkangaula
Mtwara
63516

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkangaula ndio Home posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share