Mafanikio katika Yesu

Mafanikio katika Yesu vifaa vya mashine na power tillet

Maombi maombi maombiKaribu tuungane katika maombi ya kufunga ya siku 21 na kanisa la PAG Tanzania. PAG Tanzania MEDIA
04/01/2025

Maombi maombi maombi
Karibu tuungane katika maombi ya kufunga ya siku 21 na kanisa la PAG Tanzania. PAG Tanzania MEDIA

2025. Mungu afungue milango ya baraka na mafanikio kwako kwa Jina la YESU.
31/12/2024

2025. Mungu afungue milango ya baraka na mafanikio kwako kwa Jina la YESU.

Hawa watu wenye roho hizi shetani anawatumia sana. Pole kwa familia na ndugu jamaa.
31/12/2024

Hawa watu wenye roho hizi shetani anawatumia sana. Pole kwa familia na ndugu jamaa.

Jeshi la Polisi mkoa wa Tanga linamsaka Mwita Yoba, kwa tuhuma za kuchoma moto nyumba na kusababisha vifo vya watu wanne, ambao ni mama na watoto wake watatu.

Akizungumza Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga Almachius Mchunguzi, amesema tukio hilo limetokea Desemba 30 mwaka huu saa 10:45 alfajiri katika Kitongoji cha Kwedichocho ,Kijiji cha Manga wilaya ya Handeni mkoani Tanga.

Aliwataja waliofariki kuwa ni Pili Saguge(28),mkulima na mkazi wa Kwedichocho (mama), Chacha Nyabilenga, Jane Nyabilenga na Makabala Nyabilenga.

Aidha Kamanda huyo alisema kwamba baada ya kufanya tukio hilo mtuhumiwa alitoroka na kutokomea kusikojulikana.

Kamanda Mchunguzi amesema chanzo cha mauaji hayo ni mtuhumiwa kuishtumu familia hiyo kwa madai ya kumuua mtoto wake kwa sumu hali iliyomsukuma kutekeleza mauaji hayo kwa kulipiza kisasi.

23/12/2024
23/12/2024

Katibu Mkuu wa Kanisa la PAG Tanzania Rev.Dkt.James Kesanta leo Novemba 19,2024 amewasili katika Manispaa ya Tabora kusimamia Mkutano Mkuu wa Uchaguzi wa PAG(T) Jimbo la Tabora unaofanyika leo Novemba 19,2024 katika Kanisa la PAG Makokola Tabora Mjini.
Updates.

23/12/2024

Katibu Mkuu wa Kanisa la PAG Tanzania Rev.Dkt.James Kesanta amemtangaza Rev.Christopher Mahugi wa Kanisa la PAG Urambo kuwa Askofu wa Jimbo la Tabora baada ya kupata ushindi Katika Uchaguzi uliofanyika leo Novemba 19,2024 Tabora Mjini.
Updates

23/12/2024

Katibu Mkuu wa Kanisa la PAG Tanzania Rev.Dkt.James Kesanta amemtangaza Rev.Paul Sulley (kulia) wa Kanisa la PAG Makokola Manispaa ya Tabora kuwa Makamu Askofu wa Jimbo la Tabora PAG(T) baada ya kuibuka Mshindi katika Uchaguzi wa Jimbo hilo uliofanyika leo Novemba 19,2024 Tabora Mjini.
Updates

23/12/2024

Wakati uchaguzi wa Viongozi wa Kanisa la PAG Jimbo la Tabora ukiendelea mda huu Katibu Mkuu wa Kanisa la PAG Tanzania Rev.Dkt.James Kesanta amemtangaza Rev.Sebastian Charles (kulia) wa Kanisa la PAG Izenga'A' Wilayani Urambo kuwa Katibu wa Jimbo la Tabora baada ya kupata ushindi Katika Uchaguzi wa Jimbo hilo unaofanyika leo Novemba 19,2024 Tabora Mjini.
Updates

23/12/2024

Katibu Mkuu wa Kanisa la PAG Tanzania Rev.Dkt.James Kesanta amemtangaza Rev.Jastin Daudi (kulia) wa Kanisa la PAG Mpanda Mjini Mkoani Katavi kuwa Naibu katibu wa Jimbo la Tabora baada ya kupata ushindi Katika Uchaguzi uliofanyika leo Novemba 19,2024 Tabora Mjini.
Updates

Address

Mtwara

Telephone

+255653895379

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mafanikio katika Yesu posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Mafanikio katika Yesu:

Shortcuts

Share