WOTTA NA WANGI

WOTTA NA WANGI Huu ni ukurasa maalumu wa KATA ZA WOTTA NA WANGI una kuletea taarifa kemukemu kuhusu kata hizi na inbox messenger

Kwenye picha ni Lutengano Mwalubandu , ,  Ni Moja ya walimu walioweka alama isiyo sahaulika katika ufundishaji na ufauli...
15/12/2023

Kwenye picha ni Lutengano Mwalubandu , , Ni Moja ya walimu walioweka alama isiyo sahaulika katika ufundishaji na ufaulishaji Wotta sekondari

Bila kuwasahau Mustapha Ngayungwa , Frederick Luhwago ,
,

```RUDISHA UPENDO NYUMBANI JISIKIE FAHARI KUCHANGIA MAENDELEO YA MLIMANI``` MWALIKO WA KUCHANGIA MCHANGO UJENZI WA  SHUL...
23/07/2023

```RUDISHA UPENDO NYUMBANI JISIKIE FAHARI KUCHANGIA MAENDELEO YA MLIMANI```

MWALIKO WA KUCHANGIA MCHANGO UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI KATA YA WANGI

UMOJA WA MAENDELEO WA WANANCHI WA VIJIJI KUTOKA KATA YA WANGI KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA ELIMU KUTOKA UKANDA WOTE WA KATA YA WANGI NA KATA YA WOTTA NA WILAYA YETU YA MPWAPWA KIUJUMLA.

TUNAPENDA KUWAALIKA WANANCHI WOTE KUTOKA SEHEMU TAJWA, MARAFIKI NA WADAU MBALIMBALI WA MAENDELEO KUSHIRIKI KUCHANGIA KATIKA UJENZI WA SHULE ZA SEKONDARI KUWEZESHA VIJANA AU WATOTO WETU TOKA VIJIJI MBALIMBALI KUSHINDWA KUENDELEA NA MASOMO KIDATO CHA KWANZA KUTOKANA NA UMBALI WA KUTOKA NYUMBANI HADI SHULE ILIPO .

NDUGU WANANCHI WA KATA YA WANGI NA UKANDA MZIMA WA WOTTA BILA KUSAHAU WADAU MBALI MBALI MNAOGUSWA NA SEKTA MBALIMBALI ZA ELIMU NK.

MNAOMBWA KUCHANGIA ILI KUFANIKISHA JAMBO HILI KWA MASLAHI YA KIZAZI CHETU KIJACHO .

NDUGU WANANCHI WA KATA YA WANGI NA WADAU KIUJUMLA JITIHADA ZILISHAANZA KUFANYIKA ZA KUCHIMBA MSINGI WA MAJENGO YA SHULE KWA NGUVU KAZI YA WANANCHI

PIA UFYATUAJI WA MATOFARI KWA NGUVU YA WANANCHI WA VIJIJI VYA KATA YA WANGI NA WADAU KIUJUMLA HADI SASA TUMESHA FYATUA TOFARI ZA BLOCK 3,000/= NA TUNAENDELEA KUFYATUA TOFARI KWA NGUVU ZA WANANCHI NA WADAU KIUJUMLA TUNAOMBA MICHANGO YENU ILI KUANZA UJENZI WA MSINGI WA JENGO LA SHULE NA KUTA ZA MAJENGO .

TULIJADILIANA NA VIONGOZI NGAZI YA VIJIJI KUWA KATA YA WANGI INA VIJIJI VINNE (4)KILA KIJIJI KITOE KIASI CHA TSHS MILIONI 5.

ILI TUFANIKISHE MILIONI 20 ZA KUANZA UJENZI WA SHULE YETU.

UCHANGIAJI ULIKUWA K**A IFUATAVYO ;

KUTOKANA NA VIJIJI KUWA NA IDADI TOFAUTI ZA KAYA NA IDADI YA WATU TULILAZIMIKA KUWA NA MIFUMO TOFAUTI YA KUANZA UKUSANYAJI ;

VIJIJI VYA NYANDU ,WANGI NA KIDABAGA TUNALAZIMIKA KUKUSANYA KWA KILA WANANCHI MWENYE UMRI WA MIAKA 18+ ATALAZIMIKA KUTOA KIASI CHA TSHS 10,000/= ILI KUWEZA KUMUDU KUFIKISHA TSHS MILIONI 5 YA KILA KIJIJI PIA KAYA ZENYE CHANGAMOTO KUBWA ZA KIMAISHA HATUJAZIPITIA/ HAZITAPITIWA NA HARAMBE HII.

KWA KIJIJI CHA LWIHOMELO INATUBIDI TUKUSANYE KWA KAYA KWA SABABU KAYA NI NYINGI TUNALAZIMIKA KUKUSANYA KIASI CHA TSHS 8,500/= KWA KILA KAYA ILIYOPO LWIHOMELO NA KWA KAYA ZENYE CHANGAMOTO MBALIMBALI ZA KIMAISHA AMBAZO NI KUBWA HATUTAWEZA KUPITA KWA AJILI YA MICHANGO HII.

TUNAOMBA WANANCHI WA KATA ZA WANGI NA WOTTA MLIOKO NJE YA KATA,JIMBO,WILAYA,MKOA NA WADAU WOTE WA ELIMU NK.

MUWEZE KUUNGA MKONO JAMBO HILI LA UJENZI WA SHULE YA SEKONDARI WANGI MAANA NI FAIDA KWA KIZAZI CHETU CHA SASA NA CHA BAADAE HILI NI SWALA LA KIMAENDELEO TUONDOE UBINAFSI NA UKANDA TUBORESHE ELIMU ANGALAU KATA ZA MLIMANI ZIWE NA SHULE MBILI ZA SEKONDARI ILI KUBORESHA ELIMU KWA WATOTO WETU NA NDUGU ZETU PIA KUWEZA KUVUTA HUDUMA MBALI MBALI ZA JAMII KWA KANDA YA MLIMANI .

MLIOPO NJE YA KATA TUKUMBUKE KUWA UNAWEZA KUWASAIDIA NDUGU ZETU NA FAMILIA ZETU NA WAKAANDIKWA KUWA TAYARI WAMESHACHANGIA NA WASIPITIWE UKUSANYAJI WA MICHANGO NA UKAWA UMEOKOA KAYA AU KWA MTU MMOJA MMOJA KATIKA FAMILIA WAKAEPUKA KUUZA MAZAO,MFUGO NK.MAANA ASILIMIA KUBWA YA FAMILIA ZETU HAZINA KITEGA UCHUMI ILI KUKIDHI HAJA YA KITU LAZIMA AUZE KITU.

WEWE MWENYEWE UKITAKA KUTOA MCHANGO WAKO K**A MJUMBE WA UJENZI AU MDAU WA ELIMU KUNA UTARATIBU WAKE NI RAHISI NA UTAPATIWA RISITI YAKO POPOTE ULIPO .

CHANGIA KWA AKAUNTI NAMBA YA KIJIJI CHA WANGI

NMB BANK: ```50410023877```

MCHANGO WA WAJUMBE AU WADAU WA ELIMU NA WADAU MBALIMBALI HAUNA KIWANGO MAALUMU NI WEWE TU UTAKAVYOGUSWA NA SWALA HILI MUHIMU KWA UKANDA WETU WA MLIMANI NA MKOA KIUJUMLA


MPOKEAJI WA MICHANGO YA WAJUMBE NA WADAU MBALIMBALI NI;

JINA : ERENESTER PASIPANG'OMBE NGOMBANIZA

SIMU NO. ```0759 853 922```

KWA MAWASILIANO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO;

MADOTELA CHABRUMA-
DIWANI KATA YA WANGI

SIMU NO. ```+255 625 535 445```

MATHAYO MGAWINJE -
MWENYEKITI UVCCM KATA YA WANGI

SIMU NO. ```+255769369028```

AFISA ELIMU KATA YA WANGI

JINA: CHARLES MTYAN

SIMU: ```+255 743 513 174```

TUNAWAKARIBISHA NYOTE;

NENO :Hagai 1:8

Pandeni milimani, mkalete miti, mkaijenge nyumba; nami nitaifurahia, nami nitatukuzwa, asema BWANA🙏

Happy birth day to you master mathematician lutengano mwalubandu live long life🙏
30/04/2022

Happy birth day to you master mathematician lutengano mwalubandu live long life🙏

Hon.Lutengano Mwalubandu mathematician Expert
16/03/2022

Hon.Lutengano Mwalubandu mathematician Expert

MADIWANI WA KATA YA WOTTA NA WANGI Timizeni wajibu wenu kwa maslahi mapana ya kata zenu msibakie kusikiliza viongozi wen...
06/03/2022

MADIWANI WA KATA YA WOTTA NA WANGI

Timizeni wajibu wenu kwa maslahi mapana ya kata zenu msibakie kusikiliza viongozi wenu wa chama cha CCM .

Sir,mathematicial & accountance god bless you🙏
15/11/2019

Sir,mathematicial & accountance god bless you🙏

15/11/2019

Nawatakia ijumaa njema na wikiendi njema mungu awabariki🙏

Patambue hapo ni wapi?
01/05/2019

Patambue hapo ni wapi?

Huyu ni kijana wetu wa wotta tumuunge mkono  FOLLOW INSTAGRAM  LIKE PAGE FACEBOOK  painting company
19/01/2019

Huyu ni kijana wetu wa wotta tumuunge mkono
FOLLOW INSTAGRAM
LIKE PAGE FACEBOOK painting company

09/03/2018

Tumeshafika wanawotta 500 katika ukurasa huu kwa pamoja tudumishe upendo na kujivunia kuungana mungu awabariki

12/02/2018

SIKU NJEMA NA MUNGU AWE NASI AMINA

Address

P. O. BOX 48
Mpwapwa

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when WOTTA NA WANGI posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share