Chadema in Youth Blood

Chadema in Youth Blood New tz na elimu bure mpaka chuo kikuu pia ajira kwa vijana ,bodaboda na mama ntilie watakuwa rafik wa serikal ijayo

08/03/2026

Tumuomber

07/03/2026



Polisi wa Simiyu wamemwambia dereva wa Coaster ageuze gari awarudishe Bawacha wa Dodoma kwao, Dereva kawambia gari haina mafuta ya kutosha kufika Dodoma labda waongee na waliokodi watoe pesa ya mafuta.

Basi Polisi wakawambia Bawacha wa Dodoma watoe pesa ya mafuta ili safari ianze, Bawacha wakawajibu kwamba mlipaji wa pesa ya mafuta yupo Musoma mjini hawezi kulipa mpaka aione gari Musoma mjini.

Polisi wahangaika kupiga simu asa sijui ndo wanaomba maboss zao pesa ya mafuta.

WATEKAJI WA TANZANIA WALIOKAMATWA KENYA WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI.WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahak**ani nchini ...
06/03/2026

WATEKAJI WA TANZANIA WALIOKAMATWA KENYA WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI.

WATEKAJI wa MSHABAHA leo wamefikishwa Mahak**ani nchini Kenya. Wamesomewa mash*taka ya UTEKAJI kwa LENGO LA KUDHURU. Wamerudishwa RUMANDE hadi Jumatatu ambapo kesi itaitwa tena kusikiliza OMBI la KUZUIA DHAMANA (hususan kwa Mtanzania). Watekaji hawani sehemu ya GENGE la Samia Suluhu ambalo limetumwa kila mji wanaodhani kuna Watanzania wakosoaji. Kazi yao ni KUTEKA na KUUWA wakosoaji.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Heche amejumuika na viongozi pamoja na wanachama wa Bunda kusikiliza kesi inayomkab...
06/03/2026

Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Mhe.Heche amejumuika na viongozi pamoja na wanachama wa Bunda kusikiliza kesi inayomkabili Yohana Kaunya na wenzake 20.

UPDATE KUTOKA MAHAKAMA YA BUNDA Sehemu ya 3.Anasimama Tena Wakili Dickson Matata na Kuendelea kumhoji shadidi wa Wasila ...
06/03/2026

UPDATE KUTOKA MAHAKAMA YA BUNDA

Sehemu ya 3.

Anasimama Tena Wakili Dickson Matata na Kuendelea kumhoji shadidi wa Wasila na serikali.

Matata; Wakati Umepiga Risasi Juu Wao Wakaendelea Kurusha Mawe, Umesema Walikupiga Ila Hukuumia Maana Ulikua Umevaa Kofia?

Shahidi; Ndiyo

Matata; Wakati Unatoa Ushahidi Umesema Ulipigwa na Nini?

Sahidi; Sikusema..

Matata, Umeleta Ushahidi Wowote Kwamba Ulipigwa na Kuumizwa?

Shahidi; Sikuleta

Watu wanaangua kicheko Tena hapa mahak**ani😂😂😂

Matata; Sasa Mahak**a itaaminije kwamba Ulipigwa na Kuumizwa?

Shahidi; Sijui..

Kicheko Tena. Aiseee hii ni k**a futuhi😅

Matata; Anamuonyesha kwa Usahihi kabisa Maelezo Yake. Ikumbukwe Maelezo Hayo Hayajapokelewa ..

Anaendelea Wakili Matata; kwa maelezo haya Hebu Tuonyeshe k**a Kuna Sehemu ya Walioumizwa na Waandamanaji na Wewe Ukiwemo!.

Anaangaliaa , Huku Amenuna hivi na ni k**a Sasa Ameweka Makaratasi Kwa Mbaali Utafikiri Macho Yanamuuma😅

Shahidi; anajibu ,Hakuna!..

Matata; Mkiwa Msikitini Mlipiga Simu Kuomba Msaada?

Shahidi; Ndiyo.

Matata; Umeeleza Mahak**a Ni Kwanini Mlipiga Simu Na Kuomba Kuokolewa na Siyo Kuokolewa na Kuendelea Kuokoa Nyumba?

Shahidi; Sijasema.

Yaani huyu kimeo Kila Swali Amekomaa na Majibu Ya Sijui, Sijasema, Sifahamu😂😂😂

Matata; Inawezekanaje Ninyi mlichukuliwa na Wenzako Lakini Mkaacha Kupambana na Waandamanaji?

Shahidi; Sijui.

Matata; Unafahamu ama Haufahamu Kwamba Kwa Wasira Kuna Jengo La Gorofa Linajengwa?

Shahidi; Sifahamu

Matata; Wakati Unatoa Ushahidi Umeieleza Mahak**a Kwamba Hakukua na Jengo Jingine Tofauti na Hilo La Ccm.

Shahidi; Sikueleza

Matata; Nisahihi kwamba Hujaieleza Mahak**a Kwamba Waandamanaji Walitokea Wapi?

Sahidi; Sijaeleza

Matata; Nisahihi Uliambiwa Kua Msh*takiwa Namba Moja na Mbili Ni Viongozi Wa Chama?

Shahidi; Sifahamu.

Matata; Unafahamu K**a Waandamanaji Walichoma Vitu na Nyumba Ya Wasira?

Shahidi; Sifahamu.

Matata; Umeeleza Mahak**a Ni Kwanini Hamkwenda Kulinda Jengo La TRA na Mkaenda Kulinda Ofisi

UPDATE KUTOKA MAHAKAMA YA BUNDA LEO.Anasimama Wakili Dickson Matata.Matata; Nikweli Haya ni Maelezo Yako?Shahidi; Nikwel...
06/03/2026

UPDATE KUTOKA MAHAKAMA YA BUNDA LEO.

Anasimama Wakili Dickson Matata.

Matata; Nikweli Haya ni Maelezo Yako?

Shahidi; Nikweli..

Matata; Haya Majina Ni Yako na Sahihi Ni Yako?

Shahidi; Nikweli.

Matata; Kwahiyo Unakubali Yapokelewe?

Shahidi; Ndiyo.

Matata; Mheshimiwa Hakimu Naomba Maelezo Yapokelewe.

Wakili Wa Serikali Anasimama na Kukataa Yasipokelewe😂😂😂

Nik**a Maelezo Ya Shahidi Wao Amejikanyaga Kiasi Cha Wao Kuona Wanaenda Kudhalilika..

Anaendelelea Matata; Mhe hakimu, haya ni maelezo ya Shahidi Aliyeko Hapa,na Maelezo Yake Yanakidhi Kupokelewa hivyo Wakili Wa Serikali Hawezi Kukataa Maana Shahidi Mwenyewe Amekubali Maelezo Yake Yapokelewe..

Matata amekaa na Kumwambia Shahidi naye Akae..
Kimeumana😂😂
Haya ndiyo madhara ya kutengeneza Kesi za Michongo.

Part 03 itafuata kwenye post inayokuja.

Like,share, comment na follow Shija Shibeshi

UPDATE KESI YA UHAINI MAHAKAMANI BUNDA.Naomba part 01 tuanzie katika mwendelezo huu.Anasimama Wakili Aloyce Osewe akimho...
06/03/2026

UPDATE KESI YA UHAINI MAHAKAMANI BUNDA.

Naomba part 01 tuanzie katika mwendelezo huu.

Anasimama Wakili Aloyce Osewe akimhoji shahidi wa Wasila.

Aloyce; je Ulitumia Utaalamu Upi Kutambua Hiyo Petroli?.

Shahidi; Kwa Kunusa.

Aloyce; Nisahihi Hujasema Gari La Mkuu Wa Wilaya Iliwachukua Wapi?

Shahidi; Kituo Cha Polisi.

Aloyce; Umesema Hapa Mahak**ani Kwamba Magari Hayakwepo Ndiyomaana Mlitumia Gari La Mkuu Wa Wilaya

Shahidi; Sijasema.

Anapelekewa Maelezo Yake Ili ayaone na Kusoma.

Kuna Bonge La Tusi Shahidi analisema Hapa Lakini Kwenye Maelezo Yake Hilo Tusi Halipo🤣🤣🤣, anaulizwa kulithibitisha lakini anashindwa kwa sababu Hilo Tusi Kaliongeza Yeye mwenyewe😅

Anakaa wakili Aloyce .Anasimama Wakili Massaba.

Massaba; Nataka nikuonyeshe haya Maelezo ili ujue ni ya kwako ama ni mtu mwingine.

Anaendelea Massaba, Hebu ieleze mahak**a namba yako ya polisi iko wapi hapa?

Shahidi; haipo.

Massaba; Anamwambia Hebu Soma Haya Maelezo ya Copy na Haya ya original.

Masaba; Hebu Ieleze Mahak**a Ni Lini Uliitwa Kwenda Kuedit Tena?

Shahidi; Sijaitwa .

Massaba; Umesema Wewe Ulikua Kwenye Jengo la nini?

Shahidi; Ccm.

Massaba; Ulikua Unamiliki Simu Gani?

Shahidi; Smartphone

Massaba; Kuna Ushahidi Wowote Kwamba Ulileta Ushahidi Wa Kwamba Jengo Lilikua Zima na Sasa Limechomwa?

Shahidi; Sijasema.

Massaba; George Wilson Mauma Unamfahamu?

Shahidi; George Simfahamu, Namfahamu Mauma.

Massaba; Nikweli Kwamba Wakati Unatoa Ushahidi, Hukusema Wamevaa Nini, Husema Rangi Zao?

Shahidi; Sikusema.

Yaani huyu Shahidi Foustina Kila Kitu anajibu Sifahamu, Sijui, Sikusema. Watu wanacheka sana hapa🤣🤣🤣

Anapelekewa Tena Maelezo Yake ayasome.

Massaba; Umesema Jengo la Ccm Liko Sehemu Gani?

Shahidi: SARANGA

Massaba; Hapa Imeandikwa Wapi?

Shahidi; Bunda Store.

Watu wanaangua kicheko🤣🤣🤣

Faustina anachekesha Kwa kweli mpaka naye inabidi acheke tu😅.

Massaba; Kuna Mahali Umeeleza Kua Taarifa Ulizotoa Ndizo Zilisaidia Washtakiwa Kuk**atwa.

Shahidi; Sijasema

ANAANDIKA MH. JOHN HECHEAsubuhi ya leo nimefika kwenye mahak**a ya wilaya ya Bunda, kusikiliza kesi inayowakabili wanach...
06/03/2026

ANAANDIKA MH. JOHN HECHE

Asubuhi ya leo nimefika kwenye mahak**a ya wilaya ya Bunda, kusikiliza kesi inayowakabili wanachama wetu 21 akiwemo katibu mkuu mstafu wa Bavicha, Yohana Kaunya.

Nchi nzima wanachama wetu wanateswa kwa kesi za uongo, serikali dhalimu hii haiwezi tena kushindana na Chadema bila kutumia vyombo vya dola k**a kitisho kwetu..

Hatutarudi nyuma, tutashinda na Tutabadilisha hali hii.. kwa wote mnaoteswa na kuonewa kwaajili ya haki, msiogope Tutashinda.

06/03/2026
TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA NA BAADAYE KUPOTEA MIKONONI MWA POLISI KWA MWENYEKITI WA BAVICHA MKOA WA IRINGA, NDUGU...
25/02/2026

TAARIFA KWA UMMA KUHUSU KUKAMATWA NA BAADAYE KUPOTEA MIKONONI MWA POLISI KWA MWENYEKITI WA BAVICHA MKOA WA IRINGA, NDUGU Ibrahim Myovella

Tarehe 10 Februari 2026, Ndugu Ibrahim Myovella pamoja na wenzake Suleiman Fyumagwa na Ally Kalolo walik**atwa na Jeshi la Polisi na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi Iringa Mjini hadi tarehe 17 Februari 2026 walipoachiwa kwa dhamana.

Hata hivyo, tarehe 18 Februari 2026 walirejea katika Kituo cha Polisi Iringa Mjini kwa ajili ya kuripoti k**a ilivyo masharti ya dhamana yao. Cha kusikitisha na kushangaza ni kwamba tangu walipoingia kituoni hapo kuripoti, hawajaonekana tena.

Jeshi la Polisi linadai kutofahamu walipo, licha ya ukweli kwamba mara ya mwisho walionekana wakiingia katika kituo hicho kwa ajili ya kutekeleza masharti ya dhamana.

Tunaliitaka Jeshi la Polisi kutoa taarifa ya haraka kwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mahali walipo ndugu zetu hawa pamoja na sababu za kushikiliwa kwao, iwapo wanashikiliwa.

OFISI HII INAJENGWA KWA NGUVU ZA WANACHADEMA KATA YA MIGOLI.
25/02/2026

OFISI HII INAJENGWA KWA NGUVU ZA WANACHADEMA KATA YA MIGOLI.

mbona vikao vya chama vimekuwa vingi sana Kuna shida Gani uko?
25/02/2026

mbona vikao vya chama vimekuwa vingi sana Kuna shida Gani uko?

Address

Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chadema in Youth Blood posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Chadema in Youth Blood:

Share