Floresta Tanzania

Floresta Tanzania Lengo letu kuu ni kuboresha maisha ya jamii masikini vijijini kwa kuongeza uzalishaji, kipato, kubore

Fahamu juu ya umuhimu wa chanjo za mifugo
29/07/2026

Fahamu juu ya umuhimu wa chanjo za mifugo

23/07/2026

Moja ya njia ambazo Floresta Tanzania hutimiza dira yake na kuhakikisha programu zake ni endelevu ni kushirikiana na taasisi za elimu, zikiwemo shule za msingi na sekondari.

Kupitia ushirikiano huu, wanafunzi ambao ndio taifa la sasa na viongozi wa kesho hujengewa maarifa, ujuzi na maadili ya kutunza mazingira, kilimo endelevu na uwajibikaji kwa jamii.


Tunajenga uwezo wa wakulima kupitia mafunzo yanayotengenezwa kulingana na mahitaji yao. Kupitia mafunzo hayo, wakulima h...
02/07/2026

Tunajenga uwezo wa wakulima kupitia mafunzo yanayotengenezwa kulingana na mahitaji yao. Kupitia mafunzo hayo, wakulima huweza kulima na kupata mazao salama kwa afya zao, yanayowaingizia kipato na kuwawezesha kujikwamua kiuchumi.



Tunatambua kuwa uhifadhi wa mazingira ni suala endelevu. Ili kuhakikisha uendelevu wa utunzaji wa mazingira shirika lina...
01/07/2026

Tunatambua kuwa uhifadhi wa mazingira ni suala endelevu. Ili kuhakikisha uendelevu wa utunzaji wa mazingira shirika linatoa elimu ya utunzaji wa mazingira kwa wanafunzi na kuhimiza kizazi cha badae kushiriki katika shughuli za utunzaji wa mazingira.



Tunahakikisha tunahifadhi njia za kilimo za asili kwa kukuza maarifa ya asili yaliyopo na kuhakikisha kwamba mbinu za as...
30/06/2026

Tunahakikisha tunahifadhi njia za kilimo za asili kwa kukuza maarifa ya asili yaliyopo na kuhakikisha kwamba mbinu za asili zinatumika kwa ufanisi katika kilimo endelevu.

Licha ya kutunza na kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti, tunahakikisha tunasafisha mazingira yetu. Tunaamini kwamba usa...
29/06/2026

Licha ya kutunza na kuhifadhi mazingira kwa kupanda miti, tunahakikisha tunasafisha mazingira yetu. Tunaamini kwamba usafi na uhifadhi wa mazingira huenda pamoja.

29/06/2026

Michezo inatusaidia kupunguza msongo wa mawazo (stress) na kuboresha afya ya akili. Hao ni baadhi ya Wafanyakazi wa shirika la Floresta Tanzania wakifurahia Kushiriki michezo mbalimbali.

28/06/2026

Michezo mbalimbali inaweza kuboresha afya yako ya mwili na akili. Kumbuka, kuufanya mwili uwe na kazi ni siri ya kuishi maisha marefu na yenye furaha.

27/06/2026

Fahamu dawa ya asili inayopambana na wadudu wanaofahamika k**a vimamba au “wadudu mafuta” wanaoshambulia mazao k**a mboga za majani, nyanya na mazao mengine ya bustani. Dawa hii ni rahisi kutengeneza na mahitaji yake hupatikana nyumbani.

Kwa elimu zaidi kuhusu kilimo hai na utunzaji wa mazingira, endelea kutufuatilia

Elimu ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira inayotolewa kwenye jamii huimarisha uwezo wa wanajamii wa kutunza mazingira n...
26/06/2026

Elimu ya utunzaji na uhifadhi wa mazingira inayotolewa kwenye jamii huimarisha uwezo wa wanajamii wa kutunza mazingira na kuhakikisha kwamba thamani ya uhifadhi wa mazingira inapenya katika kizazi kijacho kwa ufanisi zaidi.



Address

P. O. Box 7764
Moshi

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 09:00 - 17:00
Wednesday 09:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Floresta Tanzania posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Floresta Tanzania:

Shortcuts

Share