Youth Inclusion & Development

Youth Inclusion & Development Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Youth Inclusion & Development, Nonprofit Organization, Moshi.

Youth Inclusion and Development take cognizance that, Children and youth still face many challenges including exclusion in development activities and decision making, unemployment, violence, injustice.

http://www.yid.or.tz/donate/

Today at Moshi all registered NGO in Kilimanjaro meets for Annual NGOs Forum where we exchange experience and share solu...
06/07/2023

Today at Moshi all registered NGO in Kilimanjaro meets for Annual NGOs Forum where we exchange experience and share solutions for challenges we Face... www.yid.or.tz

26/11/2022

Shalom ndugu jamaa na marafiki,Pamoja na changamoto zote tunazo pitia lakini Tunamshukuru Mungu
Kwa mwaka 6 Sasa Shirika letu la YID, Mimi na wewe rafiki yangu tumekuwa na utamaduni wa kutoa zawadi K**a sadaka zetu za mwaka kwa kuwapa Christmas dinner angalau watoto 100 waishio katika mazingira magumu.Hivyo na mwaka huu tunapanga kufanya hivyo naomba ujiandae kwa support yako kuanzia leo ....
Mahitaji ya Mwaka huu 2022 ni Chakula kizuri K**a wanachokula familia zetu,soda,maji.Halafu Mahitaji ya shule Daftari,kalamu, pencil,rula ,na Pads za wasichana 50 za miezi 3.
Jumla kwa fedha ni 963,000/-
Unaweza kutoa pesa au mahitaji tunapokea chochote, karibuniii Sana wote.
Kwa Support/Sadaka/Mchango wako unaweza kutuma kwa namba zifuatazo....
0766897461-Shakila Daud
0715163545-Iddy Mfinanga.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa niaba ya Hawa watoto wanahitaji upendo wetu wa dhati.

2022 CHRISTMAS DINNER AND BACK TO SCHOOL GIFT AND GIRLS PAD.Shalom ndugu jamaa na marafiki,Pamoja na changamoto zote tun...
26/11/2022

2022 CHRISTMAS DINNER AND BACK TO SCHOOL GIFT AND GIRLS PAD.

Shalom ndugu jamaa na marafiki,Pamoja na changamoto zote tunazo pitia lakini Tunamshukuru Mungu
Kwa mwaka 6 Sasa Shirika letu la YID, Mimi na wewe rafiki yangu tumekuwa na utamaduni wa kutoa zawadi K**a sadaka zetu za mwaka kwa kuwapa Christmas dinner angalau watoto 100 waishio katika mazingira magumu.Hivyo na mwaka huu tunapanga kufanya hivyo naomba ujiandae kwa support yako kuanzia leo ....
Mahitaji ya Mwaka huu 2022 ni Chakula kizuri K**a wanachokula familia zetu,soda,maji.Halafu Mahitaji ya shule Daftari,kalamu, pencil,rula ,na Pads za wasichana 50 za miezi 3.
Jumla kwa fedha ni 963,000/-
Unaweza kutoa pesa au mahitaji tunapokea chochote, karibuniii Sana wote.
Kwa Support/Sadaka/Mchango wako unaweza kutuma kwa namba zifuatazo....
0766897461-Shakila Daud
0715163545-Iddy Mfinanga.
Tunatanguliza shukrani zetu za dhati kwa niaba ya Hawa watoto wanahitaji upendo wetu wa dhati.

Our Founder  Mfinanga on Radio KR FM a big radio in Moshi, doing training to Women, Youth group and all other listener t...
14/09/2022

Our Founder Mfinanga on Radio KR FM a big radio in Moshi, doing training to Women, Youth group and all other listener the topic was "How to get a Business idea"

Mwanzilishi mwenza wa shirika ndugu Iddy Mfinanga akiwa kituo Cha radio kikubwa Moshi Mjini akiongea na wanawake,Vijana na makundi mengine wanaosikiliza Radio hiyo akiongelea Mada inayosema "NAMNA YA KUPATA WAZO LA BIASHARA"..
www.yid.or.tz

We always serve our community through our commitment to educate and inspiring generation ,Radio program is among the met...
14/09/2022

We always serve our community through our commitment to educate and inspiring generation ,Radio program is among the methodology we use to reach out majority at once. www.yid.co.tz Youth group is our priority both Girls and Boys.

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Amani 2022, wadau mbalimbali wa amani wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro ili ...
14/09/2022

Kuelekea maadhimisho ya Siku ya Amani 2022, wadau mbalimbali wa amani wameanza safari ya kuupanda mlima Kilimanjaro ili kwenda kupeperusha hua wa amani kileleni.

Maadhimisho ya siku ya Amani kufanyika Mkoa wa Kilimanjaro Septemba 21, 2022. Kauli Mbiu; . youthinclusion_tbay United Nations

21/08/2022
Baadhi ya maswali yatakayoulizwa na Karani wa Sensa ni uhusiano wa watu wote waliolala katika kaya na Mkuu wa kaya, unaw...
20/08/2022

Baadhi ya maswali yatakayoulizwa na Karani wa Sensa ni uhusiano wa watu wote waliolala katika kaya na Mkuu wa kaya, unaweza kuwa mume, mke, mtoto, mama au baba mzazi, mjukuu ndugu au mtu mwingine.

19/08/2022

*SENSA TUJIANDAE KUHESABIWA

Usiku wa kuamkia tarehe 23/8. *Ni siku ya Sensa* na itabaki kuwa tarehe rejea ya siku ya sensa. Kuhesabu Watu kutaendelea kwa takribani siku 6 hadi saba kwa kuzingatia tarehe rejea. ieleweke kuwa sensa haiwezi kukamilika kwa siku moja kwa nchi nzima. Hivyo hata ukipumzika inawezekana siku hiyo Kaya yako isifikiwe hivyo hakuna mantiki ya kupumzika kwa wale wanaofanya vibarua au Kazi za kila siku. Unachotakiwa kufanya ni kuorodhesha na kuandika kwenye karatasi watu wote watakaolala Kwenye kaya yako usiku wa kuamkia siku hiyo
Taarifa muhimu ni pamoja na:
1. Jina kamili (matatu)
2. Jinsia (me/ke)
3. Umri
4.Hali ya ndoa
5. Namba ya simu
6. Namba Nida
7. Taarifa za Elimu
8. Taarifa za hali afya
9. Umiliki wa Ardhi, Majengo, vifaa/rasilimali
10. Taarifa ya Shughuli za Kiuchumi
11. Mengineyo (uraia)

Pamoja na kuacha Taarifa hizo karani atakupigia simu kuhakiki Taarifa ulizoacha tafadhari toa ushirikiano.

*Mimi niko tayari kuhesabiwa . WEWE je*?

www.yid.yid.or.tz

Asante

*SENSA SENSA SENSA*Sensa ya majengo itaenda sambamba na Sensa ya watu na makazi ya 2022. Sensa hii ni moja ya randama ya...
18/08/2022

*SENSA SENSA SENSA*

Sensa ya majengo itaenda sambamba na Sensa ya watu na makazi ya 2022. Sensa hii ni moja ya randama ya Idara yetu. Hivyo niwasihi wote kusaidia katika uhamasishaji!!! unaweza kishiriki uhamasishaji huo kwa kushare Fomu hii maalum kwa wamiliki wa majengo ambao hawatakuwepo nyumbani siku ya sensa au wako mbali na majengo yao au una msingi au pagale; kujaza Fomu hapo juu👆🏽 na kuiacha nyumbani au ofisi yay Serikali ya mtaa au kitongoji chako 🙏

Address

Moshi

Opening Hours

Monday 08:00 - 16:00
Tuesday 08:00 - 16:00
Wednesday 08:00 - 16:00
Thursday 08:00 - 16:00
Friday 08:00 - 15:00

Telephone

+255714949400

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Youth Inclusion & Development posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Organization

Send a message to Youth Inclusion & Development:

Share